Kabla ya remy mama chanja alikuwa bado yupo trending
2026-10-24 09:23:04
13
Rodrygo momy 🥂👩🍼👑 :
Kwan kumpa mimba mtu ni kosa jamani labda majibu
2026-10-24 09:06:58
270
Glady🦋 :
Wote waongo tu ukweli anaujua mama chanja na remi watu wapo bze kufatilia maisha ya watu ili wazingumziwe mitandaon
2026-10-24 09:30:15
89
@hytham002♐️ :
Itoshe kusema wema ukizidi unageuka ubayaa🙌🙌tupunguze wema binadamu hawana kumbukumbu🤝
2026-10-24 09:27:34
313
sarah🌹🤫✌️ :
kwani akai nae sasaivi?🥺
2026-10-24 08:32:08
210
simba :
mama chanja ni mtu wake yule
2026-10-24 08:32:17
65
🦋Missa Cosmetics🧡 :
sio kila mtu anaesaidiwa anamakosa jamanny mtu yeyote aliefanikiwa akimsaidia mtu ua anataman yeye ndo ampagie kila kitu kwenye maisha ake kitu ambacho hakiwezekani daima mtu anaesaidiwa tu ataonekana mbaya hata kama ni kosa la aliemsaidia na kinachofanya mumuone mbaya ni uo msaada aliopewa ila mmemsikia remmy kwani kongea kitu
2026-10-24 13:53:36
21
Mama wini Soft drink💞💕💯 :
ila kumsaidia mtu lazima akulipe mabaya jamani pole mama chanja
2026-10-24 09:17:14
26
DAUGHTER OF GOD 💞 :
Ivi Remmy huyu huyu au😳
2026-10-24 09:22:24
11
_ Bigfish_429 💦 :
Sasa hapo tumwamini nani Mwijaku au Dotto 👀
2026-10-24 17:24:22
6
AISHA💕💕 :
rem kwa nin anakuwa han shukurn hakumbk alitolew wapi angemwmbie t mam chaja naomb nijitegeme lkn so kumzarau jmn
2026-10-24 09:06:22
14
Lydia momy🌸🌸🦚 :
watu tulitiw mimba na watu wanaokula Kwa wazazi wao na tumeweza😂😂😂😂
2026-10-24 13:07:48
5
chamazelafrances@gmail :
Kwan mm chanja anasemaje
2026-10-24 11:35:58
6
Shabankanti :
Kwan kanumba na Erizabeth Michael ilikuaj 😁
2026-10-24 10:12:30
26
young mafia ♥️ :
watajuana wenyewe na maisha yao kila mtu anambio zake ☝️
2026-10-24 08:42:05
22
mnyarwanda tz❤️🤍 :
Yan Remmy kakosa shukran hvyo????
2026-10-24 11:32:17
4
@L.I.L.Y_candy🍭 :
10/10 anza
2026-10-24 20:03:14
1
DenisPatson :
mama chanja umesaidia kiumbe cha MUNGU utalipwa na MUNGU
2026-10-24 10:14:47
12
Waydis :
Mimi kijana wangu wa dukani nilimchukulia kama mdogo wangu nilimfanyia makubwa zaidi ya hayo ya mama chanja lakn alinipiga matukio makubwa makubwa ila Mungu ndo atanilipia ata kama siyo duniani ata mbinguni
2026-10-24 09:11:03
24
__Catty Cosmetics🧴 :
Mnaongea tu nyie hao watapatana tenah
2026-10-24 09:28:54
9
SWAHILI_SPEAKER.69 ❤️ :
content
2026-10-24 09:06:51
5
user2432052701354 :
Bora kabisa kaka umeeleza kwa kiurefu maana binadamu bhna
2026-10-24 10:39:08
8
jack❣️ :
maneno ya watu yasikufanye uwe na rohobiyo
2026-10-24 08:50:40
17
Stellah Robert :
et mama chanja alitaka penzi [Tears of joy][Innocent]
2026-10-24 08:41:59
8
To see more videos from user @chosenone_blog, please go to the Tikwm
homepage.