Waaleykum salaam kipenzi kwa hiyo amekufa huyu Kauthar subhanallah jamani Allah amsamehe duuu
2026-10-24 10:41:14
6
MAMUU❤️🥰 :
labda Allah alimchukua ndio asizidi kwa madhambi. labda Mazuri yake Allah hakutaka zizidiwe na hayo mabaya. Allah knows best May Allah grant us husnul khatima n may we have more good deeds than bad. Amiiin
2026-10-24 10:02:21
191
Rukshana :
Assalam aleikum na mm nakukumbusha usiache kichwa wazi
2026-10-24 09:59:22
1139
Bint Wa Baba :
Sawa Bas na wewe funika nywele vizur samahan kama nimekukosea
2026-10-24 09:57:18
437
binti Omar :
Allah amsamehe madhambi yake ya Siri na dhahir
2026-10-24 09:19:37
196
Alisha Alphonco 🥰🥀💞 :
Mungu amsamee kwani hakuna wa kumfutia hizo video 😞😢
kila mtu ana madhambi Yake,na haifai kusema ya mwenzio ,mstiri
2026-10-24 16:38:53
7
Fadhili Kuga :
cutie dawa jihfdhi
2026-10-24 21:21:37
0
park jim haa :
Bac walau futeni hiyo account yake mumstiri💔
2026-10-24 09:57:09
66
Jabiri Masudi :
pole dada
2026-10-24 21:25:06
0
dust pink :
nilishagaona video zake
nanika comment wallah [Innocent][Innocent]
nikasehivi amuokope MUNGU
2026-10-24 21:33:45
0
Feisal bin Ahmad :
madada zetu wengi kwa kweli wanatia huruma,si vibaokata,si kushabikia talaka na kushawishi waislamu wenzao kuacha stara ya ndoa in the name of toxicity,mara kusherehesha udangaji....Iwe kumbusho kwetu sote.
2026-10-24 09:28:03
87
UKTHY WA KILIFI :
huy dem wa kupasua madera 😳ama mungu amurehemu inshaaAllah
2026-10-24 13:04:39
8
Nahya M :
Kila siku tunakumbushwa ila hatuskii tunasema tunaonewa wivu hatutakiwi etc...Mwenyezi Mungu amtoe mchanga wa macho ampe qaul thabit, maisha mafupi...let's normalize not publicizing our sins
2026-10-24 09:53:32
57
🔱༒☬ 𝕺𝕸𝕬𝕽 ☬༒🔱 :
Anakata viuno kaburini sai...
2026-10-24 12:49:49
27
CANADA BOY 🕋🇰🇪🇨🇦 :
Video zake nani atazifuta😭
2026-10-24 13:56:02
5
abuuzakir :
hii habari ya ukweli lakini ama ?
2026-10-24 09:42:29
30
Tumaz22 :
kuna watu uwa wakishapigwa muhuri hata uwape ukumbusho wa aina gani moyo haushituki wala nafsi haiwasuti ya rabbi tupe ujasiri wakupiganisha nafsi zetu kuacha maasi na kukumbuka sisi ni wageni tu hapa duniani
2026-10-24 10:33:13
38
mama :
Wallai ni huzuni mkubwa badilikeni mabinti zetu😭😭 mauti yana kuja bila taarifa
2026-10-24 09:39:35
38
jamilahabubakar8 :
Basi nawe jistiri dada🥺
2026-10-24 09:56:50
48
To see more videos from user @darling.minah6, please go to the Tikwm
homepage.