@madiniplus_: Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya, anaeleza kuwa mchakato wa kuomba hati sasa unafanyika kidijitali kupitia mfumo wa e-Ardhi ili kuondoa urasimu, rushwa, na usumbufu wa wananchi kuitwa mara kwa mara maofisini. Anasisitiza kuwa wananchi wanapaswa kufanya maombi na kufuatilia taratibu hizo wakiwa nyumbani kupitia mfumo huo, na watatakiwa kwenda ofisini mara moja tu kupokea hati yao pindi itakapokuwa tayari

Madini Plus
Madini Plus
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 09:22:04 GMT
81118
2775
98
413

Music

Download

Comments

mtui284
Riziki Mtui :
TANESCO WAWE MFANO KWENYE SECTOR NYINGI. TANESCO nina uhakika rushwa imepungua mno kulinga na mfumo wao wa utendaji.
2026-10-24 18:43:56
12
possitivemind9
Chepuka tuonane♥️🇹🇿 :
tuambieni gharama halisi za kupata hati maana mnapga mpaka milion 5 naskia kwenye 20/20 na mwenye uzoefu aniambieee
2026-10-24 12:03:01
10
kifyasi
Juliana herode :
Asante
2026-10-25 05:13:09
0
arnold0658
baba jenny :
mlolongo wa kufatilia hati na gharama zake zinafika gharama ya kiwanja kipyaaa
2026-10-24 17:53:40
8
user7541103360243
moa :
kuna shida pia pwani,kuna viwanja tumelipia zaidi ya 10m ila mpaka leo hakuna hati
2026-10-24 11:03:06
9
prosperminja148
Theverybigshop :
Baba ongeza sauti
2026-10-24 10:29:21
5
malunyazi
malunyazi :
Tangu September nimelipia elfu Sabini na kitu na ushee but sijapata hiyo hati wanasema utapigiwa simu ila hakuna cha simu wala ndugu yake hati …. Mtusaidie tuzipate bila shida aiseee inaleta mkanganyiko sana
2026-10-24 13:32:21
5
amina.abdallah844
Amina Abdallah :
Kazi yao ngum sana mbona wagum sijjaona ofis ngum kama ofisi ya ardhi ni mtihani
2026-10-24 11:57:42
4
alsykesone
Ali sykes :
HUYU AWE WAZIRI WA ARDHI WA KUDUMU!
2026-10-25 11:01:02
0
anandumi.mwanga
anandumi mwanga :
mhe.siyo wote wenye huwezo wa kuingia kwenye mfumo
2026-10-25 09:46:30
1
b_matimbwa_
bakar :
MH,NAIBU WAZIRI,UMEELEWEKA, SOMA MAONI YA WAHANGA,UTAJIFUNZA VITU VINGI, OK, SHIDA, IPO KTK KUPITISHA MICHORO YA RAMANI ,SELIKARI, HAMJAPUNGUZA BEI ZA MICHORO, KUANZIA, HALMASHAURI AU MANISPAA, IMEPELEKEA WAKANDARASI WA URASIMISHAJI,KUKWAMA KARIBU NCHI NZIMA, MH, WAITE WAKANDARASI KAANAO UWASIKILIZE MATATIZO YAO, ANZIA HAPO MH,NAWASIKISHA, DSM H/ ILALA,KATA ZA PEMBE ZONI MWA JIJI
2026-10-24 17:33:40
2
ndayavugwa0
Ndayavugwa :
Hongera baba labda tutapona
2026-10-24 12:25:41
2
greektobacoo
Digala Greek🌎⚓ :
tuna miaka 4 hati hatupati
2026-10-24 12:58:09
2
meshack6441
Meshack :
gharama za kupata hati unaweza nunua kiwanja kingine
2026-10-24 14:57:56
2
drawz75
Drawz :
Wote kabisa! hata huyu muongeaji, hawana uwazi na hawataki kutaja gharama ili kutoa mwanya wa kuomba rushwa!
2026-10-24 19:34:58
3
rehemagodson
rehemagodson :
Tanzania hii hii amaaah
2026-10-24 16:16:55
0
munguniwawote
lucas :
kama nihivo sawa
2026-10-24 11:42:24
1
user28360760013448
msukuma mnywamaziwa :
mmh noma
2026-10-24 10:50:29
2
alsykesone
Ali sykes :
mawaziri wanafanya kazi sana, shida watendaji huku chini!
2026-10-25 10:59:18
0
cathmmy6
Cathmmy :
Waoooo
2026-10-24 12:52:40
1
tjcarefull
tj :
naomba mfumo hapa jamani
2026-10-24 12:39:14
1
jmarick5
jmarick5 :
Easy said than done ✔️
2026-10-24 11:12:56
1
mohammedhamad8946
mohammedhamad8946 :
kweli au kampeni tu
2026-10-24 12:18:05
1
victorlyimo25
mr :
sikweli
2026-10-24 13:20:45
1
kabadamapase
kabadamapase :
wale ambao hatujasoma tutaingiaje kwenye mfumo
2026-10-24 13:19:34
1
To see more videos from user @madiniplus_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About