@bbcnewsswahili: "Mimi huwaita tu mwanangu au mtoto” - Baba wa watoto 58 - Baba wa watoto 58 nchini Afghanistan, kutoka kwa wake wanne, anaendelea kuongeza idadi ya watoto wake licha ya kukabiliwa na changamoto za kumudu mahitaji ya msingi na kuwawezesha kupata elimu. #bbcswahili #foryou #fyp #viralvideo #afghanstantiktok

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 14:00:00 GMT
145072
7948
405
1755

Music

Download

Comments

warda6254
warda :
ni ndoto yangu kabisa kuwa na watoto zaidi 60
2026-10-25 15:22:52
63
zenahasan73
zenahasan73 :
NIZAWADI. YAKE. KUTOKA. KWA. ALLAAH. MASHALLAAA[Hands open][Hands open][Hands open][Kiss drop][Kiss drop][Kiss drop]
2026-10-26 15:51:23
0
user9281848618460
Baiheart :
maashaallah tabarakallah fihasin halik [Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-25 18:55:27
0
perfect.5265
perfect 52 :
anatesa watoto ti
2026-10-25 14:45:30
66
sultanio63
SULTAN :
this is not properly right
2026-10-26 02:57:27
0
jimmychacky
__wade💜 :
Yah but our teacher knew all 102 students in class 😳😳
2026-10-25 14:09:29
59
user5986907226551
Lissa :
kutesa tu watoto kwani alilazimishwa
2026-10-25 22:47:11
12
user79051109709373
user79051109709373 :
Mashallh Allah amkuzie watoto wake Allah ajaalie watoto wote wawe watoto wema ishllh
2026-10-25 15:56:31
130
mohammed.imamu3
MOHAMMED IMAMU :
Ila MUDI [Tears of joy]
2026-10-25 14:56:13
11
mdigo25
MDIGO :
ule msemo kila mtoto anakuja na rizki yake mungu ninusuru mie
2026-10-25 16:59:47
11
rauhiya.fasih
بنت احمد فصيح :
sizipendi habar hizi
2026-10-25 15:38:49
5
fatmaameir906
fat mother 💕 :
kila mtoto huja na riziki yake wacha azae tu ALLAH ataleta
2026-10-26 07:19:05
5
shangarawe
shangarawe :
idadi nzuri yawatoto nikile kias ambacho mungu ametujalia hata wakiwa miamoja
2026-10-25 15:00:57
28
taji2018
that man from 🇹🇿 :
kama unaleta kiumbe hapa duniani hakikisha unaweza kumuhudumia, maisha si rafiki sana 🤔
2026-10-25 17:08:31
6
zainabusuleeiman
maza :
hao watt ni mama mmja au wamama wangapi?
2026-10-26 04:24:45
0
nimo49769
Eunice Wairimu 🇨🇦🇨🇦💕💕 :
kazi Canada 🇨🇦 zipo njooni 🥰🥰🥰
2026-10-26 07:30:03
0
faiza.issa08
Faiza Issa :
subhanallah
2026-10-26 11:12:10
1
mariamnunu
Mariam Nunu :
wawili
2026-10-25 14:27:32
5
kinglato26
kinglato26 :
Ana wake wangapi kwanza
2026-10-26 12:08:50
0
user3291114957271
ASHRAF lamine10 :
wa tatu(3)
2026-10-26 11:41:22
1
maalimabalhasan5
Maalim Abalhasan. :
watoto wazuri...afya zao njema. mtangazaji acha umbea....
2026-10-26 09:27:53
1
user5716195631619
Salima :
Kwetu tumefika 30 na Bado baba anazaa jamani
2026-10-25 16:37:41
3
nassimsale93
Abu Hisham Al muhajir :
uliambiwa na nani ameshindwa kuwahudumia,ebu angalia hao watoto vzr hawaoneshi dalili yakuteseka wako sawa tu
2026-10-25 16:35:11
1
fatmakhamis488
fatmakhamis488 :
Angelijiunga na otomani
2026-10-26 09:17:57
1
user2020840147112
Adam :
Mashallah na cc mungu atupe wenye kheri
2026-10-26 08:03:16
2
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About