me wang nikimuomba hela ananitaftia visababu tunagombana😂nw ndo nmejua kmbe n mchoyo
2026-10-24 16:41:32
6
pretty🦋🦋❤. :
nnae ila ndo simpendi😩😩😩😩😩😩
2026-10-24 16:09:20
2
sarah kidd⚘️🕊 :
akiongozwa na mwanaume wangu 😂
2026-10-24 19:57:02
2
* ꧁༒☬𝓙𝓪𝓬𝓴𝓵𝓲𝓷𝓮☬༒꧂ :
So kidgooooo😂😂
2026-10-24 18:46:11
0
sika :
Sio wachoyo tushapigwa sana na matukio now tunakula pesa zetu wenyewe
2026-10-24 21:20:54
0
Makini :
Apana dada so uchoyo ni tunajua thamani ya ela mtu anakuomba 100k unamwambia sikilizia kesho anakwambia kalaki tu hunu ningeomba milioni je?? sasa nawaza nkimpa 50k sindo ntachapwa nayo usoni..bora kusema sina kabisa
2026-10-24 19:57:54
0
pretty jewel🥰❤️💋🦋🔐 :
sa itakuwaj jmn huyo ndo simpend
2026-10-24 19:22:54
1
*☆༻*Starlight siren ᯓ★ :
Anachokiongea huyu dada ni Kwel Nina ushuhuda 💯
2026-10-24 20:48:06
2
Mimy :
Mungu mlinde mmarangu wangi
2026-10-24 17:35:07
1
Tina nafaka ❤️ :
Me ningekua mwanaume ningekua sitoi hela yaani sihongi 😂😂😂
2026-10-24 20:58:09
2
Sam Blessings :
Unapokea na kwa namba gani mummy!!..??
2026-10-24 20:33:37
1
giddion omera :
si uchoyo ni nidham ya fedha
2026-10-24 18:11:09
2
To see more videos from user @wisher235, please go to the Tikwm
homepage.