@jaysontz2:

Jayson
Jayson
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 11:17:57 GMT
22905
841
28
146

Music

Download

Comments

paul.james2001
Paul James 2001 :
stress inahusiana vipi na mapepo
2026-10-25 12:41:08
4
papashinotee2
PA²SHINOTEE🇹🇿 :
lakini pia wengi ni wanawake
2026-10-24 11:54:30
4
timothympande430
timothympande430 :
true
2026-10-26 11:16:06
0
kikuni.debaba
kikuni debaba :
okh dada namushukuru pasta mungogo Danièle fuzake amnaake mungu akubariki nfunzolake
2026-10-26 10:58:09
0
danluck92
Danluck_9 :
Je, umemuelewa huyu Mchungaji??
2026-10-25 12:30:58
1
simonwamalwa370
simonwamalwa370 :
kweli mkuu
2026-10-26 10:25:51
0
bright.mwaulambo
Bright mwaulambo :
ukweri umefika mtumishi somo zuri
2026-10-25 11:53:07
1
enock.patrick4
🇨🇩🇰🇪Enock Maluli🇨🇩🇰🇪 :
hawajakutana na NGUVU ya MUNGU
2026-10-24 13:47:27
1
user44733838539607
samy samy :
vraiment
2026-10-26 09:22:07
0
user752397536
devidi kongo :
🙏🙏🙏ubalikiwe mgogo🙏🙏
2026-10-25 18:27:48
0
mr.suleimanali
Mr Sule :
Afua ya akili
2026-10-25 10:55:59
3
gracephidelis
Grace Phidelis :
So ndo yaliyowafanya maskini?? kuna cha kuuliza tena hapo
2026-10-26 06:14:57
1
travisboriot283
oleshetani026 :
bt stress nyngi n ya matajiri c maskini
2026-10-26 07:46:37
1
enock.patrick4
🇨🇩🇰🇪Enock Maluli🇨🇩🇰🇪 :
na matajiri wengi wanakimbilia Uromani
2026-10-24 13:47:58
4
makagaej
makagaej :
Kwaiy tajir stress hawana?😂😂😂😂😂 kumbe pepo linaogopa pesa
2026-10-25 12:38:53
1
ibrahmassawe
[email protected] :
mawazo mengi hutia mapepoo🤨
2026-10-24 12:08:34
1
user6073908146875
tykun fob :
sema niwanawakeee sio maskin
2026-10-24 12:03:04
0
user75080245781546789
peleus@2008 :
matajiri ,.. huwa Wana shida lkn .. kwanza hawataki kudhalilika huwa wanakutana na wachungaji kwa sili sio .publically
2026-10-24 20:10:33
0
user7866100437412
user7866100437412 :
Mapepo yana undugu na umaskini.Watu wafundishwe kutafuta fedha siyo kuondoa mapepo.
2026-10-25 19:03:31
0
josephjilili
Joseph Jilili :
Hao matajiri wenyewe huwezi kuwaona wanaenda kuombewa kwa mwamposa, wakiitaji maombezi wanawaita nyumban
2026-10-25 09:59:35
0
moses.misalaba
Moses Misalaba :
wawazo ya ovyo pepp chapu linaingia na mahofu
2026-10-25 15:20:40
0
user9962974313818
susu :
wanawaseti
2026-10-24 12:14:24
0
amosbigdj
Amos :
kwa ufupi mapepo haiko ni umasikini tu na mawazo kweli ile
2026-10-26 03:36:58
0
mamygregory
mamygregory :
Umasikini wenyewe ndiyo Mapepo
2026-10-25 16:43:02
0
To see more videos from user @jaysontz2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About