@aqonlinetv: Swala la kuweka nywele Dawa, Je yafaa au haifai? .. Huu ni mtazamo wake Ukhty Fatma Mdid, si Fat'wa, ni mtazamo wake juu ya sababu mbalimbali ambayo imefanya aone si sawa kuweka nywele Dawa.. #trending #viral #viralvideo #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #swahilitiktok #islamic #islamic_video

Aq Online Tv
Aq Online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 11:56:35 GMT
145750
6498
133
263

Music

Download

Comments

user2180156225272
user2180156225272 :
mimi nasema ni haramu tusijizime data
2026-10-24 12:53:28
55
fatimaali_260
fatima :
kama dawa n haramu pia piko ni haramu
2026-10-24 19:44:52
16
ruhain2023
ma ruhaina93 :
Inafaa jmn shekh Abdulqari kaitolea fatua
2026-10-24 13:35:52
18
mizhaomary
Mizha Omary :
mmi sijawai kuwek daw
2026-10-24 13:38:15
5
nadhirana106
Nana💘love077 :
dawa iyo iyo au izi izi anatumia mwarabu inamkainisha na kumpondesha tukipaka Sisi tunaonekana haramu nashindwa kuelewa
2026-10-24 15:20:04
8
leilashaah
Leila Shaah :
Ukt.salama aleykm.mimi nauliza tunaambiwa tusivae viburi kama mkufu pete elini.je? Nisawa nakuona wewe umevaa pete kidoleni
2026-10-24 15:06:13
8
hadija.abuubakary
khadosh " :
uislam haukataz kitu kama hakina madhar hvy kama daw Ina madhara ni Haram na kama Haina madhara daw si haram
2026-10-24 18:28:29
5
murdawasumbewe
Murda :
ni Haram huwezi kubadilisha alichokuumba nacho ALLAH alfu use me ni sahihi
2026-10-29 20:08:04
1
fettygoldenwaycollection
FettyGoldenWayCollection :
Ila jamani kunanywele zingine zinauma sana yan nywele inajifunga balaa 🥺 hadi Mtu Unatamani kunyoa kama dawa haifai bora tungeruhusiwa kunyoa.
2026-10-24 16:49:51
15
khadijaali1515
khadijaali1515 :
basi na kupaka wanja unabadilisha mana ukiutia ndo unakuwa mzuri
2026-10-24 16:13:31
5
sall_lover2556
🦋Sallie🦋❤️ :
Nakumbuka nilivyokuw shule kuna mtu alimuuliza mwalimu wa dini akasema akitia dawa na akiungua ndo dhambi Ila Kama hajaungua sio dhambi
2026-10-28 05:31:41
0
userfarhia5
Fey Essentials & Collection :
kwa jinsi nywele zangu zilivyo ngumu dawa lazima ili zilainike niweze kichana na uzuri Mungu huwa anaangalia Nia
2026-11-02 10:14:13
1
1nanahstore
Nanah Store💃 :
Piko na Dawa si sawa vyote kuvifanya jmn tuache kujizima data
2026-10-31 13:03:45
1
zuhurabunu
Zuhura Bunu :
dawa sio haramu ni mubahaa Haina dhambi Wala thawabu ni pambo km Hina mausitadhi mwatuchanganya
2026-11-02 04:43:56
1
zeynab10151
zeynab🤗💍 :
Kwan dawa inabadilisha au inalainisha tuu?? Unaweka na hakun anaezion zaid ya mumeo kuna shida gan??
2026-10-26 04:41:01
2
four.sisters538
four sisters :
yafaa kwasababu pambo la mwanamke liko katika nywele ila kma dawa yakudhuru Haifai kuweka n pia usiziwache nywele wazi
2026-10-29 19:13:03
1
shaamsa20
shaamsawa :
nikweli si sahihi Allah angetaka wote tungekuwa sawa tu
2026-10-24 13:25:45
5
user3025666259478
Reymaa :
haifai kamwe kwani shekhe ndo andiko
2026-10-25 17:41:24
3
salma.chande19
Salma Chande :
nipate dawa
2026-10-30 09:55:15
1
zainabuyusuph615
zayyun :
Uko sawa
2026-10-29 19:11:54
1
user85280340952818
MwaJay :
innalillah lillahy wainaileih rajiun 🤲 😊
2026-10-28 03:50:14
1
killerkissgagarinho
mama two :
sio haramu dawa
2026-10-26 04:20:55
0
user741544600959
saudat :
kweri jaman
2026-10-25 17:17:56
2
user1454010814046
zaituni mustafa :
ntajaribu kuweka bia niitoe dawa kwenywe nyeele zangu
2026-10-25 18:25:45
2
user2625560094478
halima mvita :
ulikuwa wapi jamani cjakuona mda
2026-10-29 13:18:31
1
To see more videos from user @aqonlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About