@bintiwambinguduniani: @Mwl Onesmo Prosperity once said “Kama kodi za wananchi zinatumika kuendesha nchi, basi Sadaka za kanisa zinatumika kwenye maendeleo ya kanisa “ 🙏🙏
Usipojua nguvu ya fungu la 10, utadhani watumishi wanachezea, natamani kila mmoja angejua nguvu iliyopo kwenye fungu la 10.
2026-10-24 16:00:42
21
Minister Clinton Joseph :
Hiii ndo injili ninayotaka Mimi God I want this kind of Manifestation
2026-10-24 14:45:31
21
functionfx :
huku unajisikia hata raha kutoa sadaka yako
2026-10-24 15:01:47
20
Eristone :
Hii biashara ina hela jaman 🙂😋
2026-10-24 15:24:50
8
. :
Mungu azidi kupewa sifa sijawahi kupungukiwa ninapotoa kwenye madhabahu ya MBINGU DUNIANI
2026-10-24 13:10:57
7
sayuni :
hapo ndo Mungu anadhihirishwa kwa matendo makuu
2026-10-24 12:14:26
7
Jonathan Jeremiah :
saut ya kifalme
2026-10-24 14:31:19
5
NEHEMIA MWANKINA :
Nimeeipenda SANA Sadaka zinaitajika kuonekana
2026-10-24 14:20:16
3
Anitha :
Glory unto God 🙏🙏
2026-10-24 15:15:49
3
TICHA AGROVET :
God is Great
2026-10-24 13:37:10
3
Elly❤️❤️ :
hakika Mungu uyu
2026-10-24 14:32:36
3
Hosiana malema :
Mungu nitunzie uyu mtumishii🙏🙏🙏
2026-10-24 15:39:41
2
kevi mosha :
mungu ainue mazabau yake ad watu washangae
2026-10-24 18:44:02
2
gilo5 :
Amina baba amina
2026-10-24 15:10:23
2
Sesilia Lameki :
Sifa heshima na utukufu ni kwa Mungu
2026-10-25 04:30:15
1
user5310748577260 :
Mtumishi wa Mungu💯, jirani yangu me, mtoto wa mzee Anaely na Mama Ndewa🥰. Mungu akutunze Mwl wetu🔥🔥, azidi kukuinua viwango vya juu💪we love u moreeee❤️
2026-10-24 13:00:51
9
DR.VITAL HEALTH WILLNESS :
Hilo ndo kanisaaaaaaaaaaaa
2026-10-24 13:55:50
6
Jesus my saviour :
ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
2026-10-24 18:38:43
1
CR never give up :
amen baba
2026-10-24 14:53:50
1
Jasper :
mungu akazidi kukubariki mtumishi wamunguu
2026-10-24 12:26:11
2
emilianasulley :
Mungu ibariki kazi ya mikono yangu niweze kukutolea Fungu la kumi
2026-10-24 18:24:36
1
Lizzychris❤️ :
Mungu ni mwema
2026-10-24 14:52:04
1
To see more videos from user @bintiwambinguduniani, please go to the Tikwm
homepage.