@mkalysanga695: Pumzika kwa Amani Ally Simba#tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿🇨🇩🇸🇸

Mkaly Sanga695
Mkaly Sanga695
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 12:16:47 GMT
39592
3616
172
17

Music

Download

Comments

ommy.juma21
2Pac,mpemba🤫🤫🫰 :
RIP my brother Ally simbaaa 🙏🙏🙏🙏
2026-10-31 11:52:27
0
user211991139296
Princesa :
jaman,jaman🤣🤣🤣pumzika kwa amani
2026-10-24 16:36:44
4
ayeshery6
ayeshery :
jamn alikuwa anaumwa kwan
2026-11-01 07:20:35
0
chiddy.breezy
BrEezy 26 :
r.i.p mwananguuu tozy
2026-10-24 19:32:51
2
mwanamajugwe
mwana majugwe :
mbn nimelia san halaf simjui jaman 😭😭😭😭😭
2026-10-27 10:45:52
1
hekima.tz2
Hekima tz :
poleeeni apumzike kwa amani
2026-10-27 19:42:08
1
mwanahamisi.ahmad8
💓Mwanah💞💕 :
du mbona mapema jamn😭😭
2026-10-25 12:21:25
0
jackietz05
jackie🇹🇿 :
kaumwa nn huyu
2026-10-24 17:10:30
1
upendo_girl_
Ms p ❤️ :
Vijana Kbc Jmn 😭😭😭😭😭😭😭wapumzike kwa Amani
2026-10-24 20:58:32
0
user2629197175616
@jojo.💞💞 :
jaman ally imeniuma pumzika kwa amani [Crying][Crying]
2026-10-24 17:55:32
1
www.mcute.com
Anita robart :
jaman kwann vijana wadogo we mungu tupunguzie adhabu vijana ameniuma sana japo simfahaf eeh mwenyez mung punguzie adhab ya kaburi
2026-10-25 22:45:40
2
user8186119154181
simba wa baary :
daaaaaaaa poleni sana mungu wetu yupo apumnzike kwa amani 😭😭😭😭😭
2026-10-29 07:15:58
1
user7594315883228
Aisha mamy :
daah bola ata nisinge sikia sauti yako ya mwisho😭😭😭😭😭
2026-10-25 15:35:27
1
user6185876234831
vardy montauk :
rip
2026-10-30 15:24:18
0
officiab2
Beatrice🌺 :
Daaah ruah majonzi 🥺🥺🥺
2026-10-24 13:07:26
2
user510815997
sparrow 😜😜 :
jamani mkali wangu ahadi Yako nitabaki nayo yakuondoja wote Arusha
2026-10-24 14:51:27
1
nuhulule
nuhulule :
We live once tukiondoka haturudiiii😭
2026-10-24 13:51:01
0
ommy.juma21
2Pac,mpemba🤫🤫🫰 :
RIP my brother Ally simbaaa 🙏🙏🙏
2026-10-31 11:52:08
0
officechallenge47
Maicko jackson TZ💫2 :
Daah mbona vijana tunapunguwa sana dunian😭😭pumzika kwa amani kaka yangu daah😭😭R.L.P MY BROTHER 😭
2026-10-24 19:36:17
1
user6796946518245
user6796946518245 :
Allah mpunguzie azabu ya kaburi mjalie kauri sabiti
2026-10-24 18:49:37
1
grace.michael570
GRACE MiCHAEL :
pumzika kwa amani 🥰🥰
2026-10-29 18:46:42
0
tinnahjo
christina john :
daaa polini san famly mungu awatie nguvu jamaani
2026-10-30 19:46:54
0
user35184113873552
Amina muhage :
mungu amulaze malipema peponi
2026-10-25 11:27:55
0
naifati55
naifati :
jamn simjui ila loho imenium mpk machoz yamenitok jamn bd kijan mung mpunguzie azabu yakabr 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-30 17:33:42
0
user9619705116781
SESI BOJO :
pumzika kwa amani
2026-10-30 11:59:34
0
To see more videos from user @mkalysanga695, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About