@petrojailosi: karibuni kitaa cha majungu ,fitina , kukosa pesa, n.k

BEKA JAI
BEKA JAI
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 12:23:28 GMT
217526
6623
949
725

Music

Download

Comments

nickolaussingassa
Nickolaussi Ngass🥰🥰🥰 :
mitalo sasaaa hap[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 09:18:19
0
smart_kalonga
smart_kalonga📸 :
sisi tuna wangoja tu tukisikua mmefeli mimba tu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 09:23:44
0
i_mamtey
🦋Imelda🦋 :
sa itakuaje??
2026-10-25 08:56:53
0
omary.mbaraka68
omary mbaraka :
mke wangu nifiche mi naogopa
2026-10-24 19:33:02
152
w.ttem
Temukwizu✅ :
ngojq nimuulize chart gpt hii shule gn
2026-10-25 09:21:57
0
user1016773654499
Chriss_wizzy :
kwani serikali inasemaje????[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-25 07:59:41
0
user1210887997271
mwanisonganya :
S.1689 ABOUD JUMBE SECONDARY SCHOOL
2026-10-24 23:33:41
20
nahhumble4
nah56 :
number tusha ziona😂😂
2026-10-25 08:29:30
0
christinasteven2
pink love 💞💞💞 :
kuna muda wanaume wana fungwa 30 bure kumbe shida ni sisi wenyew
2026-10-24 20:10:51
105
officialalice59
officialalice59 :
Hii shule nikiijua sipeleki mtoto wangu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻😫😫😫
2026-10-25 05:13:06
21
madam.tesha
Madam Tesha :
duuuuuu kama mzazi nimeumia MUNGU WASAMEHE WATATOTO WETU
2026-10-25 06:24:29
15
twayyba
madam bagia 🧆🧅🧄 :
hawajui kama wanaizalilisha hiyo shule na uwongozi wake wote yaan kwamb walimu wote hawan walichokifany
2026-10-25 05:50:39
11
mphiladephia
Mtabe :
Hayo yote ni makosa ya Serikali kulazimisha kila mtu asome secondary
2026-10-24 19:35:15
45
amanifelix70
amani felix man :
uzuri namba zetu za mitihani mmetupa tutawafatilia
2026-10-25 04:41:28
20
abuu.abdallah77
Wakujaala abdallah :
tusipate shidaaaa hao hapooo
2026-10-24 20:14:44
14
faraji_m60
SinganoFs :
Aboud Jumbe sec school in DSM Kigamboni Mjimwema Mtaa wa Maweni, maadili hapo ni hamna.
2026-10-24 19:25:32
18
user69158842851230
nayhda Suleiman :
uzuri bamba ya mtihani nimeshaona bado shule tu kiijua alafu video ninayo aibumtaona nyie
2026-10-25 04:24:30
9
officilratihyana
officilratihyana 🦋 :
mungu kila nikimuangalia mwanang najiuliza mengi sana mungu naomba mjalie mwanang awe mtoto mwenye hof ya mung
2026-10-25 05:36:32
13
venitarugemalila1
Venita Rugemalila :
mnakosea nyie watoto izo namba mnaichafua shule,mna hatari mnaweza kufungiwa na matokeo msipewe na mkafungiwa hata msisome chochote nyie wehu mbona mngetumia mtandao vzr ungewasaidia hamna akil jamaniii mmeichoma shule na walimu jamaniii hawa ndio wanafunzi wetu hawa wakoa gani? kweli mna matokeo au hamna hamtegemei?
2026-10-24 12:38:54
10
said.gaddaf
Said Gaddaf :
wahaya wapya
2026-10-24 20:17:36
5
histohistoeva.kav
histoHistoeva Kavishe :
uwiii jmn wazazi,walimu mnaona watoto wetu???
2026-10-25 09:20:41
0
bachanja5
bachanja :
Karibuni mmaah
2026-10-25 06:11:36
1
justinejonas81
Justine Jonas :
wale wa kusoma comment tu tujuane..
2026-10-25 07:50:24
1
user47821071974218
REYMA DE QUEEN OV PEACE :
ngoj matokeo yatoke
2026-10-24 21:29:00
3
mrggilfan
mrggilfan :
Wazee wenu wanajua?
2026-10-25 08:14:34
0
To see more videos from user @petrojailosi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About