😔😔😔simjui but saw videos where anasema she knows what shes doing na asiambiwe hivi wala vile... 😪 😭 😭 😭 Poleni.. inna lillahi wa inna illahi rajoun...
2026-10-26 12:02:16
0
Useeer :
Nairobi?
2026-10-24 14:05:59
3
MISSZANZIBAR😍 :
May Allah forgive her and others who have lost find their way to him Ameen
2026-10-25 02:13:43
1
Sayful.islam :
inalilah wa ina illeyhi raji uun may Allah forgive her
2026-10-25 05:02:40
1
Alpha jallow :
This is why we should all turn back to Allah before it gets too late
She was here with us a day ago doing perfectly fine and today she's no more 😢
may Allah forgive her sins and grant her Jannah
2026-10-24 20:48:24
37
Ibrahim Abdallah :
kumbe hawa watu wanakua na wazazi dah! polen san wan familia
2026-10-24 15:55:01
54
Azoo Fly :
I remember her last words hakuna mtu atani advice kila mmoja aangalie maisha yake sooo sorry for the family na mungu anajuwa zaidii
2026-10-25 08:09:33
2
Mohanoor :
Kifo chake ni funzo na mawaidha tosha kwa Dada zetu...tubadilikeni jamani kifo ni any time sai imebakia kuambiana tufute videos zake...very Sad wallahy 😔 😟 ALLAH Amsamehe Dhambi zake InshaAllah
2026-10-24 18:52:17
7
ebrazy :
poleni kwa msiba jameni katoeni video zake na we pia dada take a lesson from this
may Allah furtive us all we are imperfect but he is perfect
2026-10-24 14:27:16
19
Maryaam Ali Anam :
Munajua Mungu nyie....MWINGI WA REHMA MWENYE KUREHEMU, hii sifa ni yake, Kiti chake cha enzi, kina maandiko Rehma yake imezidi hasira yake, Mmmmmh wanaadamu ama kweli tunapenda kunyosheana vidole na siye sote ni dhaifu watenda dhambi tofauti tofauti ....zingine kubwa zaidi ya hii, Jamani tuombeanene dua njema na tumuachie hakimu wa haki aliyejaa huruma afanye kazi yake.
2026-10-25 06:22:24
8
Halima :
innalillahi wainna ilaihi raajiuun. Poleni sana na WAUSIA DADA, SHANGAZI NA MAMAZETU DUNIA ISITUHADAE TURUDI KWA ALLAH KABLA MAUTI HAYAJATUFIKIA. WENYE KUKATA VIUNO TIK TOK NAWAOMBA KWA JINA LA ALLAH ACHENI
2026-10-25 04:44:21
6
triple, b :
kwani hii kitu iko serious dada
2026-10-24 14:30:27
2
hawa othmani :
amefariki lini jamani🥺🥺🥺🥺
2026-10-24 14:37:12
4
Angeely :
siamini mazee
2026-10-24 14:35:33
2
THE BLACK ITALIAN 👌 :
alikuwa amejisahau uyo dadangu
2026-10-25 08:23:38
0
captain swaleh :
in sha Allah hope you have learned something my sister. vyema kujiandaa kuonana na muumba wako wakati wowote. Mola atujalie mwisho mwema in sha Allah sote
2026-10-24 18:08:23
8
asmah :
unajua sisi binadam tunaweza kuwa na wazazi afu wazazi wasijue unachofanya mtandaoni 😭😭
2026-10-25 09:41:57
0
Big Manyota :
kwani alikuwa wa nchi gani
2026-10-25 04:09:42
0
kinglion :
ebu fungua live utuambie mzuri leo ama kesho
2026-10-24 16:01:13
3
Yahyoo Fito :
unaambiwa ogopa midomo ya watu arubaini ikifika watu arubaini wanakuongea wewe vibaya ni hatari
2026-10-25 07:09:30
2
swt morena :
Poleni jamani msiba ni msiba ata mtu akue mbaya vipi wallai
2026-10-25 03:01:36
2
_.chilulu :
jamani iwe funzo dada zangu dunia hii ni mapito mtu akikwambia kuwa unafanya mambo mabaya tujaribu kuskizaa dada zangu yote haya hayana faida yyet walhi turudini kwa Allah
2026-10-25 08:51:48
2
To see more videos from user @smuijstara, please go to the Tikwm
homepage.