jua ladodoma limeshuka kidogo el jua yadodoma inaivisha wallah
2026-10-25 08:35:00
1
💪Mo esibii💯💦 :
jua la dodoma ata ukikaa kwenye kimvuli bado linapenya atar sana😂😂
2026-10-24 18:14:53
0
meemah🥰 :
kabisaa
2026-10-25 06:20:59
0
unique aspect 😇❤️ :
😂😂😂Upendeleo wa hali ya juu
2026-10-24 18:59:24
1
Yahaya :
dah kweli
2026-10-24 18:03:29
0
Kimbo :
lakini si ndio elinino yenyewe
2026-10-24 14:03:39
0
Honorina John :
ndio elnino yenyewe hiyo
2026-10-24 15:58:05
0
lyn💫 :
alielezek ilo jua jmn🙌🤣🤣🤣
2026-10-24 17:17:54
0
Khan Smart Devices :
Ilo jua lina mambo haya ✌🏻
2026-10-24 19:50:41
0
dorah Zulu :
tukowengiiii😂
2026-10-24 14:34:04
0
🪴آسيا 🦋 :
Aloo we sio poa
2026-10-24 14:30:15
0
alexender :
na watanzania walivyokuwa sasa wataamini kwer elnino ni ongezeko la joto kam walivyosema jan watu wa hali ya hewa na watasahau kuwa hiyo hiyo taasisi, sijui mamlaka ya hali ya hewa kuwa walisema tz tutapata uwepo wa mvua isiyo ya kawaida badae wakasema kuna kimbunga sahv wanasema jua sijui joto, sasa et nyie TMA tuwaamin kwenye kipi
2026-10-24 14:58:55
0
cosmas cherles :
jua lasamoja kama saa sita
2026-10-24 14:09:57
0
user5943508428125 yunis🥰🥰🥰 :
Yani biashara ya kutembea tunakoma jamani jua balaa
2026-10-24 14:31:52
0
Anisa Kilabula :
njoo dar ndo utaona kivumbi chake
2026-10-24 15:09:17
1
KIMSON JUNIOR :
JUA LINATAKA KUINGIA BUNGENI KUTAFUTA WABUNGE WANAOSEMA NDIO KILA JAMBO BIRA KUWAJIBIKA NAIMANI LITAWAPATA TU
2026-10-24 14:48:03
0
emmy ibra :
ndio cha mtemakuni babaaaa😳
2026-10-24 14:38:05
0
grace :
kizota hii jua linawaka kama limesogezwa😂😂😂
2026-10-25 11:52:01
0
To see more videos from user @bashasha_tv, please go to the Tikwm
homepage.