Indeed, to Allah we belong, and to Him we shall return". Alhamdhulilah
2026-10-24 17:48:33
0
ummu Sophy ๐๐ :
kwani yuwaitwaje
2026-10-24 17:28:21
2
sherry mapee :
ni Bora dhambi ya uwazi kuliko ya Siri maana wengi wetu yenye tunafanya Kando ya bazia ni Allah TU ndo anajua adhabu atakayotupa
2026-10-24 19:06:12
4
Mromaโ๏ธ๐ง :
kwa Allah hamna lisilowezekana ๐kama kamtumia yy kama mfano na wengine washabadilika tayari Mbona asimsamehe huko aliko ๐tuombeane mema mwisho wetu hatuujui tutaangukia wapi kokote kule itakua na qadar
2026-10-24 17:28:19
11
sofia :
astafirlah mungu atupe mwisho mwema wallay
2026-10-24 17:11:55
6
Preacher :
Yuwapi kwani huyu dada saa hii?
2026-10-24 17:28:20
4
user9110606001772 :
Umauti umepata na makucha na kope Allah atupe mwisho mwema na atujaloe thoba ya ukweli kabla ya kifo chetu๐ญ๐ญ
2026-10-24 16:30:15
9
Tamu yangu (Toti)โค๏ธ๐นโค๏ธ :
innalilahi waina lilahi rajiun
2026-10-24 14:53:23
4
HALAL NIKKAH CONNECTION๐๐ :
Msiba wa kujitakia hauna pole
2026-10-24 17:08:20
1
$ :
Allah grant her jannah firdous
2026-10-24 18:30:56
5
shontelle :
inalillahi wainaillehi rajiun Allah amsamehe madhambi Yake
Allahuakbar Leo hii umelala ndani yatumbo lakaburi TikTok naiyogopa mpaka basi innalillah wainna ileyhi rajiun mungu atustiri yarabi atupe mwisho mwema yarabi atusamehe soteni dhambi zetu
2026-10-24 21:08:56
0
๐ธ๐ฆ@official_miss_Rabaiโจ๏ธ๐ฐ๐ช :
lkn aliongea point ...mpunguze kushauri watu sote tuwageni humu duniani anyways may her soul rest in peace ๐ ๐ชฆ ๐
2026-10-24 17:50:40
0
ummulkhery :
subhanaAllah ๐ญ
2026-10-24 17:23:30
1
Fatu :
Allah Rahim
2026-10-24 17:10:14
1
UKTHY WA KILIFI :
mungu amurehemu
2026-10-24 17:01:51
1
ุญูุตุฉ :
Allahummaghfir laha, warhamha, wa askinha fil-Jannah. Waghfir li jamiโil-muโminina wal-muโminat, wal-muslimina wal-muslimat.
Allah atuongoze sisi tuliobaki nyuma yake, atujaalie husnul khatimah, na atufishe katika hali ya Imani.
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiโun. ๐คฒ