ولا تفسدوا في الارض بعد اصلاحها وادعوه خوفا وطمعا إن رحمت الله قريبا من للمحسنين
تتجافى جنوبهم عن المضاجع يدعون ربهم خوفا وطمعا ومما رزقناهم ينفقون
hiyo ni kauli kutoka kwa Allah kwa waja wake wanaomtaka kwa hofu(ya moto) na tamaa (ya pepo). sasa huyo ali ni bora kuliko anavyoelezea Mungu waja wake?
2026-10-29 14:59:52
1
✧༺𝑹𝒂𝒎𝒊𝒔༻✧ :
Sikuwaumba majini na wanadamu ila waniabudu Mimi.
Allah atujaalie tuwe miongoni mwa waja Wake wema na wenye kumuabudu kwa ikhlasi. Aamiin
2026-10-24 23:47:06
6
Michael brand tz :
kak nakubali na napend unacho sema kak ubalikiw hinshaalla
2026-10-24 22:15:26
1
jackline 💕 :
hakika mungu unastahili kuabudiwa🙏
2026-10-28 10:27:01
2
Tareq :
kweli
2026-10-24 15:14:50
1
Abdillah ali :
inatia moyo wallah
2026-10-27 20:33:57
2
user3709942948491 :
naonb nigundish qoruan
2026-10-25 16:38:37
0
demama098 :
JAAZAKA ALLAH KHERI
2026-10-29 10:03:48
1
Abdallah Awadh :
swalawat...
allwah huma swali alamuhamad waali muhamd
2026-10-25 19:33:50
3
selalarusai :
Imam Ali ,anasema hatakama pazia la peponi litafunguliwa kwake imaniyake haito ongezeka