asnte baba kwa hiki kidgo tra[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-24 15:39:03
0
mcharo zuberi :
taarifa kwa uma[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-24 15:46:24
0
Jose Tz :
lini hiyooo
2026-10-24 15:09:35
6
MOHAMEDY :
nasikia TRA na wenyewe wametumia sindano
2026-10-24 15:31:19
4
mayasasimai :
Moroco asant
2026-10-24 15:15:42
0
njiku :
timu yeyote ya Tanzania ikiwa inacheza na yanga iki droo au ikifanikiwa kuifunga yanga lazima wajipongeze au wafanye shereehe mana kumfunga yanga au kupata sare sio rahisi nijambo kubwa sana lazima wajipongeze ata Simba wliwahi kufanya shereehe
2026-10-24 15:32:14
1
user5973072190105 :
simb nguvu moja
2026-10-24 15:23:05
2
🦋madam 🔐🧕 :
asante baba kwahiki kdgo na TRA🙏🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-24 15:08:53
2
ÃHYÃM JĒPÕY :
kwaiyo gepu la point saiv ni 5 simba bingwa
2026-10-24 15:09:33
3
@Shazmer :
manqoba Gudubayiiiiiiiiii
2026-10-24 15:31:11
1
Kajjo Khatib :
hapo kuna mambo hayo ✌️kwa kocha wa young African 😂😂😂
2026-10-24 15:15:48
1
Clara Kimbe :
aiseeee ni km siamin km kwel mtani kadroo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 maana nilikuwa naomba Tu gem liishe nicheeeeeeke!!!!
2026-10-24 15:15:56
1
chimamy :
kwan lig kuu au 🤣🤣 mazoezi tu
2026-10-24 16:14:03
0
Maduhu Peter :
tafakari chukua hatua😂😂😂🥰
2026-10-24 15:58:19
0
EMMA TZ🔥🔥 :
uku zinabondwa tu
2026-10-24 15:44:15
0
nisha baby :
bol nimuangalie ars
2026-10-24 15:35:39
0
ng'wana eliza❣️ :
TRA hatuwadai kbs
2026-10-24 15:32:49
0
Anna♥️♥️ :
ila yangasc ya motoo jamn ♥️♥️♥️♥️
2026-10-24 15:36:53
0
WazerKing :
kifuatacho🤣🤣🤣
TAARIFA KWA UMMA
klabu ya young African imefikia makubaliano ya pande zote mbili
2026-10-24 15:36:14
0
Onesmo Lucas :
nimefurah saaaaanaaaaa
2026-10-24 15:37:19
0
mwana mageni :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 apo kuna mambo ay✌️
2026-10-24 15:37:07
0
Demetilia Kalugendo :
safiiiiiii😃
2026-10-24 15:37:39
0
To see more videos from user @djaus_djwakusini, please go to the Tikwm
homepage.