@fumau_bin_mjeje: Daaah kwani tumekosea wapi sisi😢😢

fumau mshairi 👳‍♂️
fumau mshairi 👳‍♂️
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 15:04:02 GMT
57562
3885
462
24

Music

Download

Comments

rehema.robert64
rehema Robert :
inauma ee[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-24 16:34:10
0
lee445421
lee :
wanamuita nani vilee🙌😂😂😂
2026-10-24 16:17:45
16
us3ldy
Mr Us. 💻 :
Na bado
2026-10-24 15:28:28
37
hidaya5161
Hidaya :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] Pole kaka
2026-10-24 15:28:32
0
user46381101931071
baba Eugene 🤪🤪 :
sisi simba tulimaliza hayo miaka 5 iliyo pita kuimba ni kupokezana 😅😅😅😅
2026-10-24 15:16:08
19
joselinbyerarutambi
joselinabyera :
Zamu yenu 😁
2026-10-24 16:26:19
0
abuubakarabdalla4
abuubakarabdalla4 :
homa ss
2026-10-24 16:30:45
0
aisha.hashim639
Aisha Hashim :
duuuh ila hii yanga inaumiza sana
2026-10-24 15:09:36
6
user22186023561237
Queen Malka👑 :
iyo lini iyoooooo 🤣🤣🤣
2026-10-24 18:34:51
1
scarfaceman04
scarface🦁🦁 :
here we go 🦁🦁🦁🦁🦁🚩🚩🚩
2026-10-24 16:27:09
0
dtm887
Dot.K the actress :
tujiandae kisaikolojia kwamba kombe la mwaka huu atuchukui
2026-10-24 15:31:02
6
mohamed.amour
Mohamed Amour :
WANATESEKAAAAAAAAAAA
2026-10-24 15:35:58
1
dulla_nation
dulla_nation :
af wachezaj hawana han mood na gem
2026-10-24 15:44:20
1
zainabahamad781
💞zaynab🥰 :
shida hapa nikwamba hatujazoea kufungwa mapema lakini maumivu niyaleyale yanga BINGWAAA💚💚💚💚💚💚
2026-10-24 16:21:55
3
mohammadyusuph87
mohammed :
kaka shida ipo kwa wachezaji sio kocha kaka tufanye malekebishe
2026-10-24 15:32:35
2
user6556121423293
machomacho :
mimi simba kaka ila kwa sasa mchezaji ni mmoja n maxi ndyo yanga wa kweli ila wengne matapeli mzee famau
2026-10-24 15:51:23
1
ahmedmazrui
Ahmed Mazrui :
simba bigwa
2026-10-24 15:23:44
2
kangalo.og
BABA WATOTO .🤼 :
sema Mimi niSIMBA ila yanga Bado nikubwa angalia TRA wamesuluhu lakin wanashangilia baada yakuhuzunikan
2026-10-24 16:38:41
0
kfadhili.kibwengo
kabae jr!🇧🇷 :
simba bingwa[Fire][Fire]
2026-10-24 15:38:33
1
2moo_14
Dogo wa TikTok :
badoo ndy kwanza mapemaaaa uswaze mumetutesa miaka mi 4
2026-10-24 17:03:45
1
abby_ramsi
@bby_Ramsi :
TRA wamechoma sindano haiwezekani yanga asipige on target
2026-10-24 17:37:03
2
samodiso
Fashford queen 👑👑👑 :
Wachezaji wanaonekana hawamtaki kocha hasa mudathir anacheza vibaya makusudi kabisaaaa
2026-10-24 15:43:11
0
iskiddy
ISKIDDY _ 💎 :
kocha asiondoke mpaka elinino iishe
2026-10-24 15:30:08
3
mimahbrand
mima colle tion :
kwenda kwa fabrizo kutanganza jezi kaka
2026-10-24 15:35:21
0
jennifer.odisi2
Jennifer odisi :
tutasema nini sisi na hatuna anaeluka kama swala😂😂
2026-10-24 16:57:43
1
To see more videos from user @fumau_bin_mjeje, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About