@molionlinetv: Baada ya wadau wengi kutoa ya moyoni kwa kulalamikia wanafunzi walio kuwa wamekosea kwa ku record video fupi ilio waonyesha wakiwa na furaha ya kufanya mtihani wao wa necta wamejitokeza na kuomba msamaha wamejua walipo kosea #msamaha #watotowaformfour

Moli Online Tv
Moli Online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 15:21:02 GMT
284039
15259
4122
2197

Music

Download

Comments

qboiturner
QboiTurner :
behind the camera wako zile "waache tuwaoneshe[Tears of joy][Tears of joy]" hatutaki msamaa sisi
2026-10-24 23:57:54
0
ishaz558
chi💕mami🇹🇿llioni💵 :
Wamekuja kutoa msamaha kwaiyo ssi ndo tumewakosea
2026-10-24 17:13:28
1718
kauzen067
Kauzen :
Kila mtu january aonyeshe matokeo ndio tuwasamehe
2026-10-24 17:41:56
839
madamumerrymadeha
madamumerrymadeha :
sisi tume kubari kufichaa wanaume zetu
2026-10-24 16:59:05
770
yonakisanjo2
HR 🔥🔥 :
na vipi kuhusu sisi tuliyofungiwa tayari ndani na wake zetu mnatusaidiaje?.
2026-10-24 19:03:47
239
thafat8080
🎀phatmah😌🦋 :
Kwahio tuwafiche awo wanaume wetu au tusiwafiche?
2026-10-24 17:58:04
194
mohamedi173
isimbula isimbula hassan :
mnatuomba msamaha wakati mmeshatupa onyo
2026-10-24 17:01:59
123
johnjackson4040
itsnameless :
binafsi sijawasamehee😂
2026-10-24 17:13:50
171
nuh_hunie
Nuh❤ :
Kwanza hawaombi kutoka moyoni[Tears of joy]
2026-10-24 17:57:14
230
tryphone.mwamaso
try4B the one :
mmekuja kutoa msamaha au sijasikia vizuri
2026-10-24 16:57:05
138
zoya31569
Zoya :
kwahiyo tuko salama? waume zetu tusiwafiche tena?
2026-10-24 18:53:56
80
halfof10
Top 5 :
Tutakutana certificate
2026-10-24 22:06:46
0
mr_nation001
Mr Nation :
😂msiombe msamaha sie tumependa vibe zenu😁 Sie wengine mshatuponza tupo ndani ila tutatoroka 😂
2026-10-24 18:05:26
91
chuchu_dijah
chuchu_Dijah🦋🦋 :
Tangu ijumaa nmemfungia Mume wangu ndani uo msamaha wa dhat kesho nmuachie 😒
2026-10-24 17:15:05
96
chamiyjr
chammy_jr :
MKE WANGU HAAMINI KAMA MMEOMBA MSAMAHA NAOMBA MJE NYUMBANI MUMUAMBIE LIVE MAAN TANGU ILE SIKU NIMEFUNGIWA NDANI TU😂😂
2026-10-24 20:48:08
29
elizabethtiethan4
NGUO BEI RAHISI :
Eeeh mmekuja kutoa msamaha kivipi tumewakosea nini nyie watoto?
2026-10-24 19:42:34
14
subira9398
@subira♌️ :
Nyie watoto mmetukosea sana hapana hatutaki😂😂
2026-10-24 17:31:41
21
ally.bahdela
Ally Bahdela :
kama mkitaka tuwasamsehe mtulipie nusu ya deni la nchi😎😎😎
2026-10-24 18:25:01
9
user7786193475781
Mamyuu💦🍁 :
Nimemfungia mume wangu ndani tangu juzi mlipotoa taarifa
2026-10-24 20:32:36
5
athumanmagota
Athumanmagota :
akuna kusamehewa inabidi iwefundisho kwawengine wamezalilisha tanzania tunaonekana atuna madili izo dharau
2026-10-24 20:11:46
6
faraja.msaki0
Faraja Msaki :
MKE WANGU KANIFUNGIA NDANI TOKA JANA NA LEO KAITA MAFUNDI WAMEFUNGA KAMERA KUZUNGUKA FENCE YOTE. AKIRUDI NTAMUONYESHA HII ILIVANIFUNGULIE Nikazurure😋😋😋😋😋😋😋😋
2026-10-24 17:54:49
42
ms.nnie2
🍭ANNIE 🏹 :
Sawa mmekuja kutoa msamaha asanteni kwa kutusamehe😂
2026-10-24 19:11:07
24
tcmily4
𝑒𝓂𝓂𝓎🌸❤️ :
sasa mnatupa msamaha wa nini sisi
2026-10-24 17:58:18
8
winlogan001
winlogan001🦅 :
wanaongea kwa jeuri sana hapo nyuma ya camera wamewatukana niaminini mimi
2026-10-24 18:33:46
25
diyhomedecorfurniture
Lizzie home decor :
Wakwanza kaja kutoa msamaha hii imeenda
2026-10-24 17:01:21
66
To see more videos from user @molionlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About