Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@vivahtz2418: Baraka yangu ni wewe kipenzi changu Kijana wangu najivunia kuwa kuwa Mama yako🙏❤️@Ivan_wakunze💫 #wa baraka
Vivah_tz❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 15:36:09 GMT
257082
21626
508
532
Music
Download
No Watermark .mp4 (
5.15MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
4.77MB
)
Watermark .mp4 (
14.14MB
)
Music .mp3
Comments
baby girl ♥️♥️ :
tusiyo na mama jamni tunaishia kulia2😭😭😭
2026-10-24 17:16:27
249
Regina sigella :
me natamn nimjengee nyumba mama yangu naomba dua kila siku ampe uzima nanuhai niweze kumjengea
2026-10-25 05:16:30
99
queen :
SIKU NIKIPATA HELA NTAMFANYIA HIVI MAMA ANGU🥰❤️
2026-10-24 19:36:07
100
Joa Appolinary :
Kuna muda nikiona mtu anaiita mama, baba, kaka dada, naumia natamani kumuita mtu yeyote ila naishia kumshukuru tu Mungu
2026-10-24 20:31:26
12
Emmy🦋 :
Tulio na mama kama wa gigi tuje hapa
2026-10-25 04:14:54
18
Ellie😚 :
nilitamani nimfanyie hivi wikii hii mama yangu ila nimeingia loss kwenye biashara ila nitafanya ata kama ni kumaliza mtaji ilanitafanya tuu
2026-10-25 04:52:32
20
irene moses :
dah wengine tuna mam lakini ukienda nyumbn unafukuzwaa
2026-11-07 17:15:56
1
user2813286615885 :
tusiyo na mama tujuwane
2026-10-25 12:52:07
25
Dodo💕🤫 :
daaaa brother 💐 umenifunza nitafanya hivyo nikienda kumuona mama angu
2026-10-26 10:22:23
4
adahsamson909 :
mmm zawadi ganiii
2026-11-03 07:11:41
0
adam :
heri nyie wenye wazazi, wanakula matunda yao. tusio nawazazi wapumzike kwa Aman🙏😭😭😰
2026-10-28 17:16:43
5
LARRY🧸🤍✨️ :
MOM❤️
2026-10-24 19:15:10
5
Ashabz :
Raha sana zawadi za vijana wetu😘
2026-11-04 17:16:15
0
Glorytesha :
hata mm wanangu wataniimbia hii nyimbo nikiwa nacheka kwa furaha Amina.
2026-10-25 10:26:23
7
rebekakigoda :
Ningefanya haka ka challenge ila kazi ya Mungu haina makosa😢🙏
2026-10-25 10:50:55
7
🥀 Eunice 🥀💝 :
Nani Kama mama 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🙏🫂♥️❣️♥️❣️♥️❣️♥️❣️🎁
2026-10-24 20:58:53
8
Dickina Mmssi :
pumzika kwe amani mama yangu
2026-10-29 19:25:36
1
jack son :
ongereni weny mam ehee mungu mpunguzie azabu ya kabuli mama angu nakumis mam kila siku
2026-11-04 03:23:57
1
mama agrey :
hongela sana mama umepata mtoto mzuri mwenye kujua thanmani ya mama
2026-10-26 08:37:14
3
William penford mlyoka :
nawapendasn wazazi wang ila nakosa uwezo2 jaman mungu nijalie niwasaidie kalba hawaja toweka dunian
2026-10-27 21:20:34
3
neema brown :
Nimekupenda mwanangu endelea hivyo hivyo Mungu akupe miaka mingi ya kuishi dunian
2026-10-26 09:08:54
1
shafoo :
🥰🥰🥰Kwa niaba ya mama tunasema ubarikiwe brother 🙏🏻
2026-10-25 17:37:23
2
khadija said😍🥳 :
😥😥😥ngoja wengine tulie tu
2026-10-25 13:08:17
4
salladoo :
🥰🥰nimempenda huyo kijana amenipa raha sana masikini
2026-11-11 14:41:44
1
graka ❤️🤍 :
watoto wa kiume walivyo wagumu Mungu aendelee kukupa kibali cha kumtunza mama yako🙏🙏
2026-10-25 13:52:26
4
To see more videos from user @vivahtz2418, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
IN CHINA WE’RE HAVING A GREAT TIME
میں اور میرے تنہائی 🍂🥹 . . #viral
#viral #viraltiktok #capcut #xuhuong #viralvideo
If you’re going to Ireland anytime soon you absolutely HAVE to stop by this special sweater shop located in Galway for a 10/10 shopping experience 🫶 - #galway #ireland #thesweatershopgalway #irelandtravel #travelvlog
Trời ơi, đến Thiso mall check in gấp với Beso và Kitkat cho Đại, siêu khổng lồ luôn #everydaydaiday #KitKat #NghiXaHoi #XoiKitKat #BàiđăngđượctàitrợbởiNestléViệtNam
ভালো ব আসা দিবানা আগে কই বানা, তোমারে ভালো বাসার আশাই আমার ভালো তাকাতা আর রইলো না 🥹❤️🥹🥹🥹❤️❤️🥺🥺🥺#foreyou#tending 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy