@habarimpya_tv: Kilichonipeleka gerezani nikiwa na umri wa miaka 18 nilisingiziwa kesi ya mauaji ya dereva bodaboda ambaye kila siku alikuwa ananibeba kunipeleka chuo...nilifuatwa nyumbani na polisi nikaambiwa kwamba nashtakiwa kwa kumjeruhi mtu..." Rose Malle - Mkurugenzi Mtendaji Ex Prisoners Foundation. Credit to: ITV 🫡🫡

HabarimpyaTv
HabarimpyaTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 15:42:49 GMT
85093
2127
64
74

Music

Download

Comments

user1953114431820
user1953114431820 :
ukwel wa Mungu usiombe yakukute
2026-10-24 17:26:56
31
user4048879312555
pasco wa moro :
pole dada
2026-10-24 18:33:22
0
techwave.store360
TechWave Store :
Ukipata Nafasi ya kumsuhukuru Mungu Mshukuru, Hutulinda na Mambo mengi sana
2026-10-24 17:00:17
15
kariakoo_super_shopping
kariakoo super shopping :
Fungua kesi maana this is not right
2026-10-24 18:09:07
4
user1456888563394
user1456888563394 :
imajin hadi waziri mkuu aingilie kati mahakama kutenda haki
2026-10-24 17:22:15
7
sylivestersongora2
Syliver Legend :
Watu wanapitia magumu sana 😌
2026-10-24 17:03:18
5
omeh339
omeh💫 :
Mungu ni mwaminifu wakati wote🥰
2026-10-24 17:45:06
5
rajabmnyimwa
ramadhani maramsha :
jamani awa watu msiwaamini sana, nani aliyemsongizia iyo kesi, tujiulize uyo bodaboda hajafa?
2026-10-24 17:06:16
8
thehante
Brain 🧠🧠 :
😂😂jamn nilicho kiona Sheria ni kama sanaaa vile au siasa😂😂😂
2026-10-24 17:20:07
4
mariam.shaksi3
mariam shaksi :
pole san
2026-10-24 17:38:14
0
careen3000
Careen🌹 :
Mungu alimtumia kassim majaliwa ili utoke coz hauna hatia ni neema tu ya mwenyez mungu
2026-10-24 16:47:42
3
autodiagnosistz
autodiagnosistz :
pole Sana dah hizi kupeana Kesi NI Noma sanaa
2026-10-24 16:26:39
4
ibrahimmistaazam
ibrahimmistaazam :
apo mmeelewa nn kuhusu swala la upelelezi kwa nchi yetu
2026-10-24 17:56:02
2
eric777ru
eric777ru :
Pole sana, Mungu azidi kukulinda 🤔
2026-10-24 17:01:08
2
deus.kasege
Deus kasege :
dah yn mungu ni mwema
2026-10-24 16:01:00
2
rockgsimbajike
Rock g simbajike :
pole sana
2026-10-24 17:17:37
2
mahmoudjr112
Mahmoudjr112 :
watu wanasingiziwa sana aise, upelelezi miaka kumi haukamiliki upelelezi gan huo
2026-10-24 18:41:50
0
e.movie5
e.movie :
Duuh nimeumia sana Mungu tuepushe na kila hila ya Adui
2026-10-24 16:58:20
2
yasinta.malando1
yasimali💕 :
pole sana
2026-10-24 16:57:31
2
user8145063819362
charles :
pole
2026-10-24 18:02:31
1
mr.shia7
Mr Shia :
Dah pole sana
2026-10-24 17:42:56
1
zombie613641yt
zombie :
duh pole sana
2026-10-24 16:35:31
1
rugge520
Rugge :
dear Lord 🙏
2026-10-24 16:57:20
1
king.of.storage
King of storage :
mamae hii noma sana
2026-10-24 17:55:27
1
benedicta.magantg
Mwana :
Pole sana Binti!
2026-10-24 16:31:40
1
To see more videos from user @habarimpya_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About