@sebastianyobele: Huna leseni ya madini, lakini una mtaji? Si lazima uanze peke yako. Unaweza kushirikiana na mwenye leseni halali na kuwekeza kwenye biashara ya madini, mradi ushirikiano wenu unazingatia sheria na unalinda mtaji wako. Kabla hujawekeza, hakiki leseni na weka makubaliano yenu kisheria. #MiningTanzania #BiasharaYaMadini #Uwekezaji #SheriaZaMadini #corporate