@dzoisite: ER7206 ni moja ya router yenye level ya biashara yenye uwezo wa kukupa chaguo la kutumia ISP au watoa huduma ya internet zaidi ya watano(5) Kwa wakati mmoja.Pia Ina vipengele vingine kama Load balancing,fail over, Quality of Service, bandwidth control etc. Hii ni nzuri Kwa biashara,ofisini,Taasisi na nyumba yenye huhitaji wa internet 24/365. Na hii ni namna ya kuset baada tu ya kuiwasha. #tplink #router #fyp #daizanzoisite #Networking

Daizan Zoisite
Daizan Zoisite
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 16:07:13 GMT
2048
70
8
4

Music

Download

Comments

nkdigitalservices
Nk DIGITAL SERVICES :
kwa hyo inakusanya provider wote wawili na kutoa internet moja yenye speed kubwa au
2026-10-25 15:05:05
1
leonardodavinc
LeonardoDaVinci :
Bei gani hii
2026-10-25 23:26:21
0
duckygo20
DuckyGo :
TIPI RINKI?
2026-10-25 06:43:47
0
raymaghen
raymaghen :
tsh. ngapi hii
2026-10-24 20:56:08
0
To see more videos from user @dzoisite, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About