@zeynabbollos: The Secret to Delicious Chicken Cutlets! Spicy & Full of Flavour#cutlets #cutletsrecipe #chickenrecipes #homecooking Katlesi za kuku - Kuku aliyepikwa (70% ya mchanganyiko) - Viazi vilivyopikwa (30% ya mchanganyiko) - Vitunguu maji vya majani (spring onions) - Pilipili kali (pilipili mbuzi) - Juisi ya limao - Pilipili manga kwa wingi - Chumvi, kiasi cha kutosha - Siki nyeupe. - Mayai, kwa ajili ya kupaka - Mafuta ya kupikia, kwa ajili ya kukaangia

ZEYNABBOLLOS
ZEYNABBOLLOS
Open In TikTok:
Region: GB
Saturday 24 October 2026 16:15:04 GMT
353
8
4
1

Music

Download

Comments

ummunahid
cute lila :
katlesi na achari we zaii😁😁😁
2026-10-24 16:40:07
1
zeynsuleiman
zeynsuleiman :
tunasubiri ya urojo😁
2026-10-25 10:10:40
3
To see more videos from user @zeynabbollos, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About