@mansamussaxivcom: Unaweza kuwa na mshahara mkubwa lakini bado ukashindwa kuweka akiba! 💸 Kwenye video hii, tunazungumzia makosa 5 yanayokufanya ushindwe kusave, jinsi ya kusimamia pesa zako vizuri, na namna ya kujenga akiba hata kama kipato chako ni kidogo. Pia nitakupa challenge ya siku 30 itakayokusaidia kuanza safari yako ya kuwa na uhuru wa kifedha. 💬 Swali: Ni kitu gani kinakufanya ushindwe kuweka akiba kila mwezi? Tuambiane kwenye comments! 🔔 Like, Subscribe na Share kwa elimu zaidi kuhusu pesa, biashara na uwekezaji. #ElimuYaFedha #Akiba #PersonalFinance #MoneyManagement