Innalilah wa innaileyh rajiun tumuombeeni ivoivo Mungu ndio ajuwae zaidi yetu subhanallah khauthar Hamisi dada wewe😭😭💔
2026-10-24 17:54:23
11
Fatma_Mustafa001 :
amekufa lini manake video zake subhanallah
2026-10-24 16:56:41
291
princessbirucy :
tatizo hatutaki kurekebishwa boiii
2026-10-24 17:00:10
358
🥀🥀مريم الحلوة🥀🥀 :
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un🥺
Kuna story that a prostitute was granted jannah because she gave a dog water to drink using her shoe,so tusikate Tamaa na rehma ya Allah, Allah amsamehe madhambi yake na amjalie pepo, Ameen
2026-10-24 17:24:31
172
Rucy collection :
Muslims stop judging people Mungu ndiye mwenye kuhukumu, kuna mazuri alifanya you just see the other side of the coin. wengine you do worse behind the curtains compared to what she did,na mumejistiri
2026-10-24 17:51:42
149
popzeiny mgwisho🤎🔐 :
kawthar hamisi😩umetuachia zazaa sisi twaanza wapi kutoa video zko dadaetu😭watu walikwambia kawthar jirekebishe dadaetu😭😭ulijibu ukasema wafanya kwa raha zako😭Kawthar...Inalilalahi waina illahi Rajiun Allah akupunguzie adhab za kaburini kawthar...Wadada wakiisilamu tujirekebisheni kawthar ametuacha ameacha kumbukumbu mbaya😭😭😭Inalillahi.
2026-10-24 17:05:58
555
kulthum :
My dear brother/sister, 🥺🤍 let us fear Allah in the way we speak about others. Even if someone dies while committing sins, we have no right to declare them people of Hellfire. We are not Allah, and we do not know what was in their heart or how Allah will judge them.
Allah says in the Qur'an:
“And do not pursue that of which you have no knowledge.” (Qur'an 17:36)
The Prophet ﷺ said: “Whoever conceals the faults of a Muslim, Allah will conceal his faults in this world and the Hereafter.” (Sahih Muslim 2699)
My dear, 🥀 instead of reposting the videos of someone who has passed away and declaring them destined for Hell, remember that one day we too will leave this world, and we will need Allah's mercy. Correct what is wrong with wisdom, not humiliation. If their videos expose their awrah, do not spread them further unnecessarily.
We can condemn a sinful action without deciding someone's final fate. Their judgment belongs to Allah alone. Instead of shaming the dead, make du'a that Allah forgives them and guides us all. May Allah protect our tongues from injustice and grant us all a good ending. Ameen. 🤍😭
2026-10-26 00:06:30
0
Niah serlem🇰🇪💙 :
Allah atuajalie mwisho mwema Yarabbih 🥺🥺
2026-10-24 17:03:00
416
khalidfuad092 :
Wacheni Kujudge Watu...Only God Knows Behind The Curtains...Maiti Haongelewi Vibaya...Just Pray For Her, Period...
2026-10-24 19:36:05
29
Meerah bovel :
Haya wanawake tuna cha kujifunza …tutumieni mitandao vizuri jamani
2026-10-24 17:34:44
125
Al Watan Chui :
Ewe Mwenyezi Mungu, msamehe na umrehemu, mpe usalama na umsamehe makosa yake, fanya mahali pake pa kupumzikia pawe pa heshima, panua kaburi lake, msuhushe kwa maji, theluji na barafu, Muingize katika Pepo, na umlinde na adhabu ya kaburi na adhabu ya Moto 🤲
2026-10-25 14:24:19
2371
Binti maghaliki🥰 :
allah amsamehe atusameh na sisi atujaalie mwisho.mwema
2026-10-24 18:30:44
43
mima :
Allah atujalie mwisho mwema ya Rabbi
2026-10-24 17:08:51
51
pretty girl 👧 :
wallah mitandao inatuhadaa naumia kuon mwenzang kaondok katika hali hii
2026-10-24 19:18:17
26
felax_009 :
Big Up Broo🥺🙌🏽💔
2026-10-25 22:54:41
1
Irfan :
Kwa mambo yale mungu amuweke anapostahili
2026-10-24 19:06:43
39
shishirugeh97 :
mnamuombea Mungu ama mnatafuta likes kupitia madhaifu yake ati twakumbushana wakati ulikuwa live nikakukumbusha ukaswali ukaniambia nifate langu iliniiuma sana haikutosha wenzako ulokuwa live nae akaja nisuta kwa live yake eti niache mambo ya kuingilia maisha ya watu kosa langu tu kulikuwa kwaadhiniwa nikakwambia kaka adhana hiyo ulijibu nn? hamna lolote kazi kunyoshea wenzenu vidole kuona ya wenzenu wakati nyinyi yenu mwayafanya fiche heri yy alofanya adharani kila mtu akajua kama mwampenda kweli muombeeni dua kwa siri sio mfanye content na madhaifu yake mstirini mwenzenu🥺 Ina lilahi waina ilehi rajiuno Allah amsamehe inshaAllah
2026-10-24 17:36:49
11
Mim Kim :
Acheni kuhukumu labda Mungu alimpa nafasi ya kutubia
2026-10-24 19:47:56
5
billghetts :
Amiin
2026-10-24 19:49:03
7
SioMimi :
kuna mama aliongea kwa uchungu saana juu ya content za huyu marehemu lakini wadada wengi walimsuta
2026-10-24 17:47:50
90
Pre Loved :
Kauthar umetuwachia sisi waisilamu wenzako mtihani mkubwa dada yetu……dada tulikukanya ukasema ni kwa raha zako dada yetu…. Tulikuswihiii Kauthar wengine mpka ukawatukana Kipenzi chetu Leo usiku wako wa kwanza Kaburini dada yetu Allah akustiri[Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-24 17:46:11
38
Kassim Khalaid :
alikuwa mgonjwa ama ndo ivo siku zake
2026-10-24 18:02:22
22
🌺Susu Banana🌺 :
Tatizo tukirekebisha tunaambiwa tuna wivu ama Husna Ila tutazidi kukumbushana kifo ni mawaidha Tosha let all learn from her Allah amsamehe
2026-10-24 18:08:26
6
chi mammy :
Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un 😭🤲🏽 Allahumma ighfir laha warhamha, wa ‘afiha wa’fu ‘anha. Allah amsamehe dhambi zake, amrehemu, ampanulie kaburi lake na amjaalie Jannatul Firdaus. Ya Allah, tujaalie mwisho mwema na utupe hidaya kabla haijafika siku yetu. Kifo hakichagui umri wala muda. Allah atuongoze sote. Aamiin ya Rabb 🤲🏽🕊️
2026-10-24 17:59:49
26
To see more videos from user @master_lee101, please go to the Tikwm
homepage.