tatizo kocha anapanga wachezaji kam vile haendi na mfumo,wayanga cha kwanza anatabia ya kuwafokea wachezaji wake na amewakuta aiseee hilo la kufokea wachezaji aliache
2026-10-24 17:41:11
1
Msomwa :
kocha ajiandae na safari ukisikia sauti za wana nanga ujue kocha aondoke
2026-10-24 18:47:06
2
clever Zacharia :
Wote ni wazuri wakaze2
2026-10-24 17:15:17
0
Zaitun Yusuph :
mambo ya simba hayanihusu
2026-10-25 06:48:05
0
robert modric tindo :
jamn huyo kocha sio wa ligi kuu ni wa club mabingwa
2026-10-25 06:51:43
0
medilick sipiliani :
jaman mimi sijajua jina lake kulitaja ebu musubili kumfukuza
2026-10-24 20:20:10
0
Yusuph :
Asante yanga acha aende tu
2026-10-24 19:22:56
0
alvin deus :
uzuri uko hivi anayetaka kulia lazima utamjua tu😁😁😁
2026-10-24 18:39:32
1
TORO 5🫵 :
hapo kuna mambo haya ✌️tunasubili taarifa Kwa umaa
2026-10-24 18:32:09
0
Hassan Abdala :
sio mda mrefu wataimba hawakutaki uto tunawajua
2026-10-25 02:27:26
0
amosabell6 :
aodoke kweli yani
2026-10-24 19:06:17
0
ashay :
eti yanga bigwa
2026-10-24 19:49:49
0
Mzee kijana8 :
sio coch tu hata wachezaji waambie wajitume
2026-10-24 16:57:24
1
hashimbeko :
muacheni kocha
2026-10-24 19:13:50
0
elius :
viongozi nao ni wabishi kwani hawaoni kinachoendelea
2026-10-24 17:42:55
0
catherine :
hata wachezaj hawatufurahishi Yan wanacheza vibaya
2026-10-24 18:27:47
0
Official@Eng. King Cele032 :
ila kocha asiguzwe yeye hana kosa lolote
2026-10-24 18:23:42
0
Yunis james123 :
tatizo sio kochat mpaka nawachezaji wanacheza utafikili wako mazoezini wapo wanaojitaidi uwanjani ila weng wao wanazururat uwanjan jaman
2026-10-24 17:45:15
0
Dee_Lyzer✨ :
wanasimb tuko pale☝🏼☝🏼☝🏼juu 🤣🤣🤣
2026-10-24 18:30:21
0
saimoni musa :
au nasiii viongozi wetu wapigajiii
2026-10-24 18:28:21
0
Robby dhe don :
Atumtaki kweli
2026-10-24 18:38:32
0
To see more videos from user @eindigitaltz, please go to the Tikwm
homepage.