@issayanga6: Mambo yamezidi kuwa magumu ndani ya kikosi cha Yanga SC baada ya kulazimishwa sare ya 0-0 na TRA United leo (Oktoba 24, 2026), matokeo yanayoongeza presha kubwa zaidi kwa Benchi la Ufundi na Uongozi. Ukiachana na matokeo ya sare, Yanga imepata pigo kubwa baada ya kiungo wao mahiri, Mudathir Yahaya, kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa leo. Pigo hili la Mudathir linakuja wakati kiungo mwingine Duke Abuya akiwa bado anauguza majeraha yake waliyoyapata hivi karibuni. Sare ya leo inafanya Yanga kupoteza jumla ya alama (5) muhimu ndani ya michezo miwili mfululizo ya Ligi Kuu, Yanga Walipoteza 2-1 dhidi ya Simba SC kwenye Kariakoo Derby (Oktoba 10, 2026). Hii inakuwa sare ya pili kukutana nayo Wananchi dhidi ya TRA United katika historia yao (sare ya kwanza ilikuwa 0-0 Machi 18, 2026). NOTE: Licha ya kumudu kuivusha Yanga kutinga hatua ya Makundi ya CAFCL, Kocha Manqoba Mngqithi anakabiliwa na presha kubwa kutoka kwa mashabiki wasioridhishwa na mfumo wake usio na burudani ya soka la kuvutia. NB: Je, unadhani Uongozi wa Yanga unapaswa kumvumilia Kocha Manqoba ili azoee presha au ni muda wa kubadili mifumo haraka kabla mambo hayajaharibika zaid #Wananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko #YangaSC #ISSAYANGA
Issayanga
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 16:51:31 GMT
Music
Download
Comments
user3312872818116 :
daah yanga tumezoea kufukuza makocha tutafikia wangapi[Crying][Crying][Crying]
2026-10-25 07:06:33
0
Paschal Chrisant :
players know they have problems
2026-10-25 05:24:56
0
Nadia :
we shall see you again maybe for new life 😂
2026-10-25 13:50:31
0
japhary :
caf champions league
2026-10-24 19:29:54
0
fadhili :
aende 2 atuachie yanga yetu[Tears of joy][Tears of joy][Pray][Pray]
2026-10-24 19:41:32
1
Ester edison polis Wazaelimu :
tatizo so kocha huwezi kumulaumu kocha kwa sababu yeye hachezi wachezaj ndo walaumiwe
2026-10-25 07:30:25
19
maupepo Fikir :
mm xhabik wa simba kutokea mkowa wa mologolo uyu kocha ni mzur tu lakn umwaka wa fulah kwa simba mbona sis tume toa sale kibao na tuna vumilia uyu kocha waki mto wasi jida nganye kuwa ndo wame won apn kipigo kipo pale pale simba nguvu moja👍👍👍
2026-10-24 20:26:26
23
sajadi ayubu :
samahani san tubadilishien huyo mtu mwengne
2026-10-24 21:26:53
7
Petro the great :
Tatizo sio kocha na watamkumbuka
2026-10-25 09:05:56
4
yusra ally :
tatizo wachezaji ndy tatizo wamechoka
2026-10-25 06:33:21
4
biuti fuli 🙏🙏 :
yatizo sokocha tatizowache zajijamani tisemeukweli kochanimzulitu hanatatizo tusimlaumu Wana YAnga ilawachazaji jamani timuache kocha
2026-10-25 12:55:44
1
caizall :
tatizo halipo Kwa kocha tatizo lipo kwawachezaji na kama wataenderea namchezo hule atutofika mbali yanga afrikans
2026-10-25 06:30:54
4
CHANNA JR :
tatizo wachezaj wanachez chini ya viwango vyao
2026-10-25 03:06:48
2
꧁☠️☬Bʀᴏ☬Hūňţřîx☠️꧂ :
mie naona tumwanimi coach kuna kitu anatingeneza katika ligi yetu ya Tanzania. kama uliiangalia mechi ya marudiano ya Wale CCFA utakuwa umenielewa . Yanga bingwa
2026-10-24 21:12:40
4
Mzuka family :
Chakwanza nikumwamini kocha kupoteza mech izo mbili sio sabab ya kumfukuz tumpe nafas atafany vizur
2026-10-25 06:14:29
4
chugaa :
kocha abaki
2026-10-24 17:50:01
3
bi fire :
safarinjemamunguawabaliki
2026-10-25 07:09:13
1
H 7 GRT :
aondoke2
2026-10-24 21:23:04
1
Nemia Muhinjo :
kocha abaki shida ni WAchezaji hamna
2026-10-24 22:37:32
1
sabaya simeli :
coacher hana shida kwani yeyote
2026-10-24 21:02:35
1
Alkama Farhani :
oya siku zote kocha hachezi kazi yake nikotoa maelekezo wachezaji wanatakiwa kufata maelekezo ya mwalimu wao kwahiyo huo ni uamuzi mbaya unatakiwa kuaa chini nakufikiria mnafeli wapi [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 06:28:09
2
Ashura Katobo :
aondoke[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Innocent][Innocent][Innocent]
2026-10-25 08:28:03
2
Michael 🇹🇿🇹🇿 :
daah. Sina kingne zaid ya machozi tuuu😭😭
2026-10-24 21:40:06
2
Maiko Zakayo :
kocha aondoke
2026-10-24 22:08:00
1
To see more videos from user @issayanga6, please go to the Tikwm
homepage.