@edimundingonyani5gmail.c: MAFUNDI KAMA MAFUNDI TUESHIMIKE NAPIA TUWE MAKINI SANA KWENYE UFANYAJI KAZI MAANA MAFUNDI TUNACHANGAMOTO ZISIZO ELEZEKA ILA NIMAJUKUMU ULIO YACHAGUA KWAIYO INATAKIWA TUKABILIANE KIVYOVYOT NAPENDA KUWASHUKULU SANA WALE WANAE NIFWATILIA NA KUSHEA MAMBO MCHACHE HII VIDEO NIMEKUPA UTAZAME ILI NAWEW UWE NAKITU CHAKUJIFUNZA PINDI UNAPO FANYA KAZI
kaka siku nyingine span kwanya unafunga inslotion tape kwanza hiyo itakusaidia ikikusa haita leta madharaa
2026-10-25 03:20:55
1
Rich Richie :
Spana ingegusisha phase na phase ingekuwa balaa jingine kaka… Gloves muhimu engneer na safety boot za maana 🥾
2026-10-24 19:42:57
1
The Cronic :
Nouma xn
2026-10-25 01:20:59
1
Eng Msekajr07 :
Kazi zetu hizi mungu ndio mlinzi wetu
2026-10-24 21:00:07
1
mdudu scombiso :
baridi kaka
2026-10-24 21:22:34
1
dicxon_ronald :
Kazi nzuri kaka
2026-10-24 18:03:24
1
PACHO✅ :
huo umeme hukati kwanza
2026-10-24 22:20:11
0
Bin rama :
ht uwo au lv
2026-10-25 04:49:12
0
kaaji :
ni follow fundi umeme
2026-10-24 18:18:25
1
Erick William mwanga :
unariski Sana maisha yako bro huna vitendeakazi vya kutosha
2026-10-25 04:54:56
0
florianshenda0 :
wakati unaitoa hyo spana haikua imegusa kwenye fezi namba 3 ? maana nimeona ulirudia kuitoa kwa mkono
2026-10-24 20:30:33
0
Emmanuel 🦺 :
Safii kishokaaa tupo pamojaa 🔥🔥
2026-10-24 20:12:11
0
junior ngassa :
Lait kama ingeuwa AC umeishika kwa mkono. gudibayiiii
2026-10-24 20:41:12
0
dede👣 movie clip :
kizungu jee[Big LOL]
2026-10-24 19:42:09
1
y Jude 5 :
vaa glovu
2026-10-25 04:24:21
0
Ramadhani Salum :
kwa sheria unatakiwa ufungiwe cheti chako . kwanni?
1 . LIVE CIRCUIT ZITE LAZIMA UFANYE ISULATUON TOOLS
2. GROVER NI MUHIMU
3 LAZIMA UWE NA MTU WA ZAIDA
4 UMAKINI ZAIDI YA 99%.
sasa kwa mm apo kilichokukuta ni sawa na sio fundi makini
2026-10-25 05:21:59
0
🇵 🇴 🇮 🇸 🇴 🇳 ❤︎ :
@MNGONI ELECTRICIAN uko poa ila vaa gloves uwe free jamaa
2026-10-24 18:41:26
1
photo power🛠️👨🔧👨🔧 :
[Réconfortant][Réconfortant][Réconfortant]
2026-10-24 18:30:02
1
To see more videos from user @edimundingonyani5gmail.c, please go to the Tikwm
homepage.