church's they don't teach about getting job and to respect about there job they only collect money some church's only on Sunday they collect 5× and the members are very poor.
2026-10-25 06:58:06
2
Sanga123! :
mimi kiukweli ningekuwa na mamlaka makanisa yangetoa kodi ya mapato.
2026-10-25 04:37:00
25
kungwiorg :
You’re fact
2026-10-25 06:43:59
0
A1Brother :
Ukweli huu ni mchungu sanaaa 💯💯💯"" "Mwenye sikio na asikie""
2026-10-25 06:13:21
7
mtumishimathias8 :
Huu ni ukweli mtupu watu inabidi kuamka
2026-10-25 02:31:31
17
Mwinjilist Amos James🤲 :
mmmh naona mnadanganyana
2026-10-25 05:07:41
3
GRÂCE KISUBA KIS :
huyu baba nimkweli kabisa vingine tufunguwe macho
2026-10-25 02:07:01
12
Isaki Boazi :
samahan jaman nauliza kwa wema tu nijue iv mchungaji wa kanisan lolote anastaili awe na kazi nje ya uwito wa kumtumikia mungu
2026-10-24 20:34:04
9
@maguha_000 :
safi sana pasta
2026-10-25 07:07:27
1
sika shabani :
sisi waislam tunaambiwa baada ya ibada tutawanyike duniani maana tukatafute riziki.
2026-10-25 05:48:16
3
DJ JOHN WAKIMATAIFA :
Huyu ndio mchungaji sasa
2026-10-24 21:06:50
5
king :
niliacha kwenda kanisa nijisalia nyumbn
2026-10-25 05:36:49
2
Monica Elias :
nikweri mimi mpaka nimeacha kusali miaka mitano sina hata kuku
2026-10-24 19:34:22
6
gift mwanga :
kila misa sadaka
2026-10-24 20:09:56
5
mpole :
sibora amekusanya watu wana sikiliza neno lamungu
2026-10-25 03:48:49
1
Abuu Ghammaar :
Sasa hivi kuna anchifu inauzwa milioni moja na nusu
2026-10-25 06:52:28
0
zaituni :
huo ni musuko Gani jamani naomba jina
2026-10-25 01:10:52
3
Mvaa Andrew :
Haya maongezi yanakidhi viwango na kusudi la Mungu? Wapo watu walimsema Musa mwisho wao haukua mzuri. Nao walionge hivihivi, tafuta Kora Hesabu 16:1–35. Ni msiba mkubwa.
2026-10-25 04:58:54
0
neemasilvester523 :
yaani michango kanisani ni mingi mpaka unashindwa utoe upi na uache upi makanisa yamekuwa kausha dam