Musimuhukumu please sababu anajutia hapo alipo subhanallah
2026-10-24 18:54:09
14
Ozalima😜✌️ :
daaaaah ,,, mtu anaeza mfanyia toba maana waaah🥺🥺🥺
2026-10-24 19:19:50
9
亗KING๛STONツ :
ushauri atapata kaburini ss ala atuongoze na atusamehe dhambi zetu
2026-10-24 21:26:34
3
chidinho :
mungu amlani huko aliko amin
2026-10-24 20:52:46
3
HAJJ MINA 2 ❤️❤️🥰🥰 :
acheni kupost video zake muacheni yeye na Allah sai huko alipo musipende kumjaj mtu Kwa muonekano wake muovu hamjui pindi akiwa peke alikua akifanya Nini so acheni kupost video zake
2026-10-24 19:51:35
4
Mudhy Ramadhani :
Kila Mmoja Atavuna alicho Kipanda
2026-10-24 19:41:16
4
beatoneproduct :
mwacheni jmn mpunzisheni please allah amsameeh dah funzo hili
2026-10-24 19:00:09
6
bi bushuti :
subuhana Alallh
2026-10-24 21:20:26
2
Omofia Kwenu :
Tusiwe watetezi.. bali tue wenye kuchukua hili kama funzo
2026-10-24 21:02:55
1
ummu Mohamad :
midomo ya watu ni sumu Dunia hadaa ulimwemgu shujaa! msimpost lkn ni basi tenaa🥺
2026-10-24 19:56:27
4
Fatu :
subhanallah acha mungu amuhukumu mwenyewe we did our part mengine yy na mungu wake
2026-10-24 19:23:50
6
Malkia Nene :
mungu amsamehee aminaa
2026-10-24 20:56:55
1
jamzur_said :
amekufa musimueke
2026-10-24 20:14:37
2
mami :
huyu mtasema kumalza ila Allah kamuonyesha kuwa anauwezo zaidi yake ju aliyokuwa akiyafanya hayamridishi Allah sasa iwe funzo...pengine ata mungu akupangia maisha marefu ila kwa maovu yetu anatunyima pumzi
2026-10-24 20:28:37
3
fatma bakar :
lazma watu waliongelee ili iwe ukumbusho kwa awa waliobakia kibur sio kitu njema aya sasa yuko wap madoido yote kumbe pumz aimilik yeye mungu amuweke sehem anayostahil
2026-10-24 21:02:48
2
mrs hemedy💍💍 lam the one :
ndugu msaidie ndugu yenu mmtolee sadaka sana za ibada misahafu majuzuu cement mazulia ya kuswalia wale watakao soma na kuswali ndo watakao msaidia huyu kutokana na,sadaka yake uwii jmn mungu mungu mkali mno
2026-10-24 21:24:57
2
DOLLAR :
SUBHANALLAH
2026-10-24 20:32:31
1
user7500206508119 :
subhanaAllah
2026-10-24 20:25:50
1
ranny :
subhana Allah
2026-10-24 19:55:39
2
user3362790262178 mwamkala :
aya kashauriwe na aliekuumba dada dunia kwasababu dunia ni njia twapita tu
2026-10-24 20:04:47
2
KENYA 🇰🇪 1 ONE :
Aliyekufaa yupo na yake mazito ila yetu haya tunayojigamba nayo eti ni masafi bado hayawezi tupea kicheko tucheke Maiti...tupo na yetu mazito Sirini Allah tu katufichia...
2026-10-24 21:04:21
1
Mama Africa🌍 :
Maskn 😢 😢 😢 😢 😢
2026-10-24 19:44:22
2
Esha Matano :
inna lillah waina illahi rajuun
2026-10-24 20:34:47
1
Lucky-lucklisious :
𝚊𝚕𝚕𝚊𝚑 𝚊𝚝𝚞𝚓𝚊𝚕𝚒𝚎 𝚜𝚘𝚝𝚎 𝚖𝚠𝚒𝚜𝚑𝚘 𝚖𝚠𝚎𝚖𝚊
2026-10-24 20:40:43
1
Mtogorwa :
kweri huhitaji ushauri
2026-10-24 20:15:03
2
To see more videos from user @tiktok.mylove4, please go to the Tikwm
homepage.