mzee ameushitukia michongo
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-24 19:21:20
1
Jackson Mazengo :
mchongo huo
2026-10-25 09:40:25
0
niko ambae niko :
good
2026-10-25 21:27:11
0
Dikison Charles :
sahihi baba
2026-10-25 03:57:28
0
johnboy :
hahahaaaa😂😂😂mbona utaliiii
2026-10-25 16:00:27
0
POWER OF GOD ALUMINIUM& :
akilikubwa sana,
2026-10-25 10:29:25
0
LEPOLEPO :
Hahahahaha
2026-10-25 10:23:02
0
Mr.mshoka :
unfamiliar Sana ww
2026-10-25 06:10:36
0
Yusuph Malongo :
Hakuna msikiti wa utalii kwanza, pili msikini ni sehemu ya kifanya ibada
2026-10-25 07:56:00
0
enock mponzi :
SALUTE KWAKO
2026-10-24 20:29:13
0
Musa Abdulrahman :
Alaamal bi niyaat
2026-10-24 19:34:05
1
Gaboom :
Kivutio cha majini
2026-10-25 10:10:08
2
user1736337401117 :
tunaleta Ile safina tulioikota huko uturuki😂😂
2026-10-25 00:45:34
1
Sewando Jr :
Labda huenda utakavyo jengwa ujenzi wake utakuwa tofaut Duniani
2026-10-25 18:31:56
0
Suleiman Lugome :
mimi nafikili ww hujamuelewa makonda msikiti wa utalii sio lazima watalii waingie ndani ya msikiti sio hivyo watakao ingia ni wale watakao hitaji kufanya ibada watakapo kua maeneo hayo ya utalii
2026-10-24 20:21:43
0
natanaelindossi :
Wakina Usama bin Ladin😉🏃🏿♂️
2026-10-25 07:02:22
0
the.wagina2 :
Naamini pia hapo kuna mtu ajakuelewa pia atakuona kuwa uko kinyume na uiislaam
2026-10-25 04:20:05
0
Justin soni :
Mimi Kwa akili yangu nafikiri kuitwa musikiti wa kitalii Ni Hao watalii wapate sehemu Ya kufanyia ibaada muda wa swala ukifika si kuweka picha ndani Ya musikiti.