@smuijstara:

Maxmillah nyanchera
Maxmillah nyanchera
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 24 October 2026 19:09:10 GMT
68502
870
140
367

Music

Download

Comments

.zulfa73
@Official_zulfa :
no one is perfect let us pray for her💔🙏
2026-10-24 19:12:04
62
ayushley
Tasneem Mia💋 :
Kifo cha huyu msichana kimenirudisha kwa Allah 😞jamani aliugua nn? Allah amsamehe dhambi zake
2026-10-25 05:19:44
113
ayesher31
Aisha :
kafa na makucha ya kubandika😭😭😭😭😭yaAllah mpunguuzie adhabu y kabri...na sisi tujaalie mwisho mwema inshaAllah😭😭😭
2026-10-25 06:35:31
87
fatimaafroo
Ⓕⓐⓣⓜⓐ🎀فاطمة :
Subhanallah... yaani mpaka nimeogopa😭 Inna lillah wainna ilaihi raajiun.. may Allah forgive her sins and make it easy for her. Allah atujaalie mwisho mwema 🥹
2026-10-24 19:14:53
18
sisters.0012
Sister's 001 :
Jamanii kila siku waambiwa usicheze uchiii wajibu watu vby na wazidi kila kukicha any nisiseme sana hakuna mkamilifu lkn hili ni funzo kwa wengine Allah ametuletea funzo kubwa sana Alhamdhulilah Yarab 🤲
2026-10-25 06:37:07
24
zedym01
Zedymohermz :
by having all what humans are seeing doesn't mean she's a sinner,msishangae mkapatana mbingunib😅,never judge
2026-10-25 13:15:01
3
chibabare17
𝓑𝓪𝓫𝓪𝓻𝓮𝓮 :
kifo ni ushuhuda mkubwa sana kwa tulio hai MUNGU atupe mwisho mwema
2026-10-25 13:27:16
3
001totoo2
Totoz :
turudi kwa Allah jamani dunia tuna pita
2026-10-25 12:06:59
3
user65581509568413
Jayme :
alikuwa mkenya au mtz
2026-10-25 17:49:35
1
bukuratanchande
bukuratanchande :
sina cha kusema mie cjui mwisho wangu
2026-10-25 20:46:51
2
sheeqassim
Shee Qassim :
Amekufa na kucha zake ndefu subahannallah dada zetu zingatie jameni kuna maisha ya Akheri dadangu huyu kiukweli nimemsihi kila wakati namtigia simu japo hakupuuza nimuelezayo
2026-10-25 11:57:57
2
chunu.mummy
Chunu Mummy :
Alikua mgonjwa??
2026-10-24 19:41:02
7
user8839214472774
user8839214472774 :
kila mtu atajijua mwenyewe
2026-10-25 06:28:58
3
linah9432
Linah :
shida nini au heart attack??
2026-10-25 03:14:05
1
rjna88
️Kanzu Oman ke :
Wallahi inauma sana kuona watu wakiendelea kupost picha na video za mtu aliyeshafariki 😭💔 Jamani, kila tendo lina accountability yake mbele ya Allah. Akifanya mabaya au mema, hiyo ni baina yake na Mola wake. Sisi tulichukue kama funzo, tumuombee rehema, na tuache kumhukumu kwa namna hii. Allah amsamehe dhambi zake, Ya Allah, sisi sote tunahitaji rehema Zako. 😭🤲🏽 Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, naomba utafute namna ya kufuta hii video kwenye page yako. Mtu ameshafariki, hawezi tena kujitetea wala kujibu yanayosemwa kuhusu yeye. Inasikitisha sana kuona video zake zikiendelea kusambaa wakati yeye hayupo tena duniani. 💔😭 Kifo ni ukumbusho kwetu sote. Leo ni yeye, kesho ni sisi. Tusisahau kwamba sote tutasimama mbele ya Allah na kujibu kwa matendo yetu. Naomba muniwie radhi kama maneno yangu yamewaudhi, lakini nimeandika haya kwa uchungu mkubwa moyoni. Allah amsamehe marehemu, amrehemu, na atufikishe mwisho mwema sote. Aamiin Ya Rabb. 🤲🏽[Crying]
2026-10-25 17:54:12
0
tush308
tush308 :
inna lillahi wainna ilaihi rajiun poleni kwa msiba Allah awape subra
2026-10-24 19:12:20
4
nyalejuba
MR.TRANSACTION :
Innalillah wainnaillah rajjiun Alhamdhulilah Allah katoa na kachukua ila dada zangu Kaka zangu dunia nkama vile kuvuka barabara so hii inatukumbusha yakwamba tumrudie MOLA wetu,tuchunge Sana kufanya vtu zenye hazmridhishi Allah katka mitandao
2026-10-25 05:36:58
4
surehya102
~🌬️suuh🌸~🌬️ :
uyu ni yule mtanzania au kenya🥺
2026-10-25 08:19:13
0
fadhili222
Hassan :
Inalilai wainalilai rajiuun Allah ailaze roho yake mahalapema peponi yarabi Allah amwepushe nakila adhabu ya kaburi awe mwenye kuiona pepo yarabi amin 🤲🤲🤲
2026-10-25 07:12:33
2
moha24290
Moha :
inna Lillah wainna ilaihi raajiun
2026-10-25 14:49:31
1
ramzul63
ramzul :
innalillahi wainna ileyhi rajiun
2026-10-25 11:35:10
1
ameree_takky
ameree :
Allah swt amfanyie wepesi huko aliko😳😳SubhnaAllah
2026-10-24 19:13:03
3
blessingsilayo
Blessing :
mmepost maiti jaman
2026-10-25 15:06:57
1
salmaalifa16
salmaalifa16 :
Allah amsameh madhambi yake ya siri na ya dhahiri amuepushe n adhabu ya kabri naya moto inalillahi waina illehi rajioon
2026-10-25 02:47:45
1
misstotolii
💍Ťòțò 💞přețťÿ🦋 :
2026-10-24 20:15:21
1
To see more videos from user @smuijstara, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About