@debrightyanga: Rasmi uongozi umemfutaa kazi kocha #debrightyanga #timuyawananchi🔰 #daimambelenyumamwiko💚💛 #fyppp #trending

De'brightyanga💚💛💚💛
De'brightyanga💚💛💚💛
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 19:09:48 GMT
30129
1286
73
83

Music

Download

Comments

lucyjoseph5246
Lucy Joseph :
nimemuonea huruma jamani maisha ay duuh
2026-10-24 19:59:24
15
lightnesfredy
user5804159732595 :
lkn ata wachezaj nao wamelegea lawama anapewa kocha duh
2026-10-24 19:33:58
10
martintz459
martintz459 :
dhambiiiii🤔
2026-10-24 20:43:08
0
sagendaa
Philbert :
yanga munazambi ya kufukuza watu
2026-10-24 23:49:39
2
faithflaviana
fsithflavian :
hata mkivunja mkataba hao wachezaji wetu hawajitumi zambi tuu
2026-10-24 19:43:20
2
kangeboy999
𝔼𝕞𝕚𝕝𝕪79 :
Nimeumia san2 kufukuzwa japo mm nimwana yanga haya ni maisha2 pia kuna maisha baada ya mpira
2026-10-24 20:38:56
2
farida21072001
farida🦋🌹🌹 :
yupo Sanaa haondoki yanga bingwaa💚💛💚💛💚💛
2026-10-25 03:06:12
0
lindah123453
Linda💕 :
Msitoe uyu😂😂
2026-10-24 20:07:48
2
midoli.mafinga
Midoli tz mafinga :
kocha gan ulhuyo han mbinu za ziada timu inapozidiwa
2026-10-25 02:53:25
0
angel.123.comlo49
Angel love :
dah ila ndio maisha imeniuma sijui kosa la nani any wy i love yanga[Heartwarming]
2026-10-25 02:22:38
0
user6504240141612
salimu amri :
napia tim sio ya baba ak acha 2 aondok
2026-10-24 20:03:36
1
kikwete.elia.laiz
Kikwete Elia Laizer :
safi sana waku
2026-10-25 02:44:01
0
bubbiesparkle
bubbie sparkle 💕 :
daah inaumiza San jamn. tuseme tu u mwaka sio wetu kuchukua u bingwa. byee Kocha asante kwa ulicho kufanya japo mwisho umekua mbaya but🙏
2026-10-24 20:22:48
1
official.mineer
official mineer :
kumbe we ni mwana yanga ila utaki yanga yako ifike tunapoa taka et tutabadilisha makocha paka tumpate aleye sahii kwa timu yetu tunaipenda sana yanga yetu
2026-10-24 23:31:12
0
mohamedy.chawangi
🇧🇷GORDEN"✨️BOY,,96🇧🇷 :
safi kocha sio mbaya maisha popote🤛🫶🙏
2026-10-25 01:17:24
0
honeypher19
honeypher :
dah dhamhi me hadi nmelia
2026-10-24 22:51:46
0
shebby.kiwamba
Shebby Kiwamba :
asepe tu
2026-10-25 00:13:11
0
mirano...spare
MIRANO AUTO SPARE :
2026-10-24 22:45:59
0
dikisondeus147
@dikisondeus147 :
bado yupo sana
2026-10-24 21:06:57
0
rose.s.ruselema
Rose S Ruselema :
Nenda salaam😁😁
2026-10-24 21:21:09
0
mrs73394
annah :
mimi nishabiki wa simba ila sjapenda mumeshidwa nn kumupa Chas nyingine mbona sisi tumemuvumilia dumbia😭😭😏
2026-10-24 21:40:52
0
user1757113682250
Abdul :
yangaa wanauruma sana yaan wamemchelesha kuondoka
2026-10-24 21:43:51
0
rosewaziri723
♥️🌹Mrs🪷 ommy🪷 :
Daaaaaaaa .umenium
2026-10-24 23:21:46
0
castokongola31
Casto @ :
yanga bingwa
2026-10-24 21:46:07
0
euniceipyana
Eunice Ipyana :
pole sana 😭😭😭
2026-10-24 19:40:55
0
To see more videos from user @debrightyanga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About