@eindigitaltz: TAARIFA KWA UMMA | Vongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu umma kuwa umefikia uamuzi wa kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya kwanza, Manqoba Mngqithi. Vile vile, Uongozi wa Young Africans Sports Club umesitisha mkataba na Kocha wa Viungo wa timu ya kwanza, Chyna Mokaila. Mtazamo wako ni upi kwenye hili?, Tupe MAONI Kwenye Comment Follow @eindigitaltz

EINDIGITAL TV
EINDIGITAL TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 19:12:52 GMT
165997
10547
198
256

Music

Download

Comments

lakishtone5
lakishtone 🔥♥️ :
sasa mbona kama madharau ali kamwe mtu akiondoka muageni vzr sio hayo madharau😔
2026-10-24 20:51:06
31
erickjackson781
Erick Jackson :
tumeshaerewana
2026-10-24 22:38:10
0
mis_hazda
mis_ hazda :
huku sio kuelewana ni kuvurugana [Tears of joy]
2026-10-24 19:36:47
38
wifivodarouter
Alice🌸 :
kwakweli nadhan tumeshaelewana na TAARIFA KWA UMMA 😂
2026-10-24 19:37:22
20
n3d_lloyd
N3d-Lloyd :
Orlando Pirates will humble you from just you wait
2026-10-24 23:28:17
1
hawaabasi830
Hawa Abasi :
Shida sio kocha shida niwacheza ji Yanga ina boa
2026-10-24 19:52:01
16
baruanabdallah
Baruan Abdallah :
yamekua ayo tena binadamu na shukran nivitu viwili tofati
2026-10-24 19:36:59
13
fequrial
fequrial vee :
Alikamwe unafanana na Kaka angu jamoun nae ni kiongozi wa yanga mkoa Fulani yaani kila nikikuona kama nimemuona yeye
2026-10-24 19:49:51
8
mogul.tz1
Mogul Tz🇹🇿 :
Semaji pia amjui coach wake wachezaji watajuana😅💔.. simba bigwa bhna
2026-10-24 20:39:30
7
medpabl_06
@med-pabl_06 :
hapa kuna mambo haya ✌
2026-10-24 23:15:22
3
wamineso3
wamineso :
Tushawaelewa👍😁😂😂
2026-10-24 20:11:38
6
magdalena.chihumb
Machima :
cjui kama kuna nchi yenye watu waajabu kama Tanzania 😂😂😂😂😂
2026-10-24 22:10:41
2
meddykhan41
meddykhan41 :
nakubali
2026-10-24 20:15:28
2
omymsomal
omymsomal :
taarifa taarifa
2026-10-24 20:27:24
4
rayhj844
RayHJ. :
msemaji asiye jielewa.
2026-10-24 20:10:06
4
saidiahmad227
saidi aina :
saf sana
2026-10-24 20:23:18
2
ramataifa5
kit 😋 :
Leo nimeamini maneno ya manara
2026-10-24 20:26:52
2
abubakarisultan47
greatest showman :
iyo leooooo
2026-10-24 20:31:10
2
auxibiuskashumba1
kashumbaofficial :
utataman na wew uingie uwanjani round hii ni ya moto
2026-10-24 20:09:08
6
malaikamello
Malaikamello :
🤣🤣😂
2026-10-24 20:42:12
1
fetty_mwechaga
2008 brand :
kwl
2026-10-24 20:16:23
2
rashid.abdallah25
Rashid Abdallah :
😂😂😂😂😂😂daaah nchi ina vituko hii
2026-10-24 20:19:28
2
aminadulla0
Grn :
Shida ilianzia apo 😅
2026-10-24 20:39:09
2
manuchomrope
nucho Mrope :
kutesa kwa zamu sasa n zamu yen
2026-10-24 20:14:20
2
user571826104596
merry❤️❤️ :
muda hautoshi😂😂😂😂
2026-10-24 20:36:15
4
To see more videos from user @eindigitaltz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About