@millardayo_: Klabu ya Young Africans (Yanga SC) imetangaza rasmi kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mangqoba Mngqithi pamoja na kusitisha mkataba wa Kocha wa Viungo, Chyna Mokaila. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Oktoba 24, 2026, kupitia kurasa rasmi za Klabu hiyo, uongozi wa Yanga umefikia uamuzi huo na kuwashukuru Makocha hao kwa mchango wao katika kipindi walichohudumu ndani ya timu hiyo. Aidha, uongozi wa Yanga umewatakia kila la heri katika majukumu yao mapya, huku ukibainisha kuwa tayari umeanza mchakato wa haraka wa kumpata Kocha Mkuu mpya. Klabu hiyo imeeleza kuwa mchakato wa kumpata Kocha Mkuu mpya unatarajiwa kukamilika hivi karibuni. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 19:22:31 GMT
Music
Download
Comments
silasthomas705 :
It's too late, but everything gonna be good 🙏🙏
2026-10-24 20:45:54
0
noel wilfred njau :
😂😂😂 go news
2026-10-24 20:16:01
0
..as BABA🗣 :
naveap Carrick anafanya nn pale Manchester United 😡
2026-10-24 20:23:26
0
Viva_45 :
MPIRA HUOOO[Tears of joy]
2026-10-24 20:15:33
0
Kidoti💕 :
KWISHAAAA 😂😂😂😂
2026-10-24 20:19:53
0
Mkal ☘️-Duke☘️-🧸 :
ata jina bado atujalijuwa vibaya ivo
2026-10-24 19:35:26
101
anotherdaughter :
kuna nn tena basiii[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-24 19:50:15
0
t_.14 :
iyo lini iyoooooooo🤣
2026-10-24 19:26:47
74
sophiebby :
watavunja mpaka vikombe safari hii hatuachi mtu...simba nguvu moja💪
2026-10-24 19:57:46
43
Unique babe🇹🇿🇹🇿 :
nilijua tu kwamba hafikii chai kesho😂😂😂
2026-10-24 19:59:04
26
James Jagonda :
#si wangesubiri wakutane na simba tenah mbn wamemuwaisha 🤣
2026-10-24 19:42:00
29
abuu :
Team haina uvumilivu kama Ex wangu
2026-10-24 19:27:38
16
Jackline ambindwile 😀 :
wangesubiri hata ipite El nino jaman
2026-10-24 19:27:32
20
Siwema😜❤️ :
Daaaah ndo nilikua nimeanz kukalili jina jaman 🙄🙄🙄🥺mbon hamna subla
2026-10-24 21:13:34
5
Official rayshaz :
Mbna sio wavumilivu jaman mngevumilia kidg si nmemuona doumbia wetu kafunga
2026-10-24 19:55:04
9
Bora Mzee mpili alisepa zake mapema aliyajuwa haya
2026-10-24 20:03:27
10
neemankundiye@ :
nilijuwaa hiyoo lazima itokee yanga hapanaa uvumilivu Kabsaa duuuu! love simbaa 💓 forever kwa shida na rahaa
2026-10-24 19:49:45
8
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Yanga uvumilivu awawezagi 😅
2026-10-24 22:37:01
3
Ibraah SBA :
2026-10-24 19:54:30
0
eddie_michael :
Bora alivoondoka maana ilibaki kidogo tungempeleka polisi akawekwe ndani sio kwa alivokuwa anaharibu timu
2026-10-24 20:29:16
1
Edison :
naipenda yanga kuliko mke wangu,,💛💛iyooooooooo leoo iyoooooooooo
2026-10-25 00:32:10
0
shabih :
tulioamin krismas hatoboi lakin imekuw mbali naomben like💪
2026-10-24 21:17:03
1
Erick samwel :
Bora ata wangemuacha kidgo mna ilikuwa bdo ajazoeyana na timu husia😚😚
2026-10-25 00:07:55
1
Odo Love♥️ :
Ila situlielewana ale klisimasi jmn😂😂
2026-10-25 00:07:13
2
zombi :
Raha
2026-10-24 19:26:23
2
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.