@zuhurakaoge: #tiktoktrendingvideo #TikTokTrends #kenyantiktok🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktrend

Salha Music
Salha Music
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 20:16:17 GMT
137688
15324
287
140

Music

Download

Comments

rehemaismail8590
rehemaismail8590 :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]mkali
2026-10-26 07:43:18
0
latifa.kipisi
latifa kipisi :
dada unafaaaa kua m c .jamna. 🥰
2026-10-25 04:13:40
8
miss_noury
miss_noury🩷 :
Mtu anitajie tu jina
2026-10-25 04:17:14
16
mauaibrahimu321
mauaibrahim :
Mashallah taarab hiyo kila siku lazima nisikilize mungu ampunguzie adhabu ya kaburi maryam
2026-10-24 21:00:47
107
faukidoty5
faukidoty2 :
jina la nyimbo plzz
2026-10-24 22:00:33
3
annacute506
baby girl :
jina la wimbo pls
2026-10-25 12:14:32
1
nuratyjefa
nuraty :
taarabu yangu pendwa dada
2026-10-24 20:43:14
4
emmy.oficael
Emmy👑🇹🇿 :
jina la nyimbo
2026-10-25 11:06:26
1
ukhty.himlaty
Ukhty Himlaty❤ :
sauti ya dhahabu Allah awape umri mrefu weny manufaa
2026-10-25 05:18:29
2
user4183733838517
Mariam Abdallah :
bi Salha bi mzury Mashaallah 🥰
2026-10-25 07:13:53
3
aiemasha1
It’s asher🧸❤️ :
Allah amrehem jaman mariam hamis🥹🕊️
2026-10-25 19:04:52
2
hawa.hasan91
Hawa Hasan :
mti wariziki
2026-10-25 15:37:37
1
lucy.mwaijengo734
lucy mwaijengo734 :
Salha unajua Bwana🥰
2026-10-25 03:23:58
4
user811166381941
Zainab :
mashallah nakupenda mie balaaa🥰🥰
2026-10-25 04:11:33
2
mamabii469
mamabii :
we dada unajua kipaji unacho aiseee 10/10
2026-10-25 04:22:45
2
miss.naa58
Bint Rajab ♥️ :
🥰🥰
2026-10-25 07:02:29
1
hawaally174
Hawa Ally :
Allah amrehem Mariam Ismail napenda sn hiyo nyumbo yk 👌🔥🥰🥰🥰♥️♥️♥️
2026-10-24 21:02:00
0
mwanaid.ibrahim18
Mwanaid Ibrahim :
mashallah umewezaaa
2026-10-25 12:39:38
1
user5462591733114
asiafadhlfeisal :
sauti ipo
2026-10-25 08:13:51
1
cutiepien5
Miss nur❤️🌹 :
Dada Salha nakupenda sana Allah akutunze Inshallah ❤️❤️❤️❤️
2026-10-25 09:04:44
2
cutewise22
Cutewise22🤍🌸 :
Mc nishapata😁
2026-10-25 04:29:57
2
chim_561
chimy :
Acha na nyimb saut imenitoa machoz masha allah
2026-10-25 04:15:57
2
mina89455
mina natur pretty :
❤️❤️❤️mtu ana kufaa sauti haifi. mungu mpe kauli thabit maryam
2026-10-24 20:57:15
4
ruthrobert730
kim de love :
penda sana
2026-10-25 04:13:29
1
user1165927782788
user1165927782788 :
mashalla👍
2026-10-24 21:50:08
1
To see more videos from user @zuhurakaoge, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About