In one of her videos alisema tusikuwe tunaswali siku ya Eid pekee tukuwe tunaswali kila siku, may that knowledge she shared be among the many reasons she'll enter Jannah ❤️.
2026-10-25 09:20:08
218
amour nasheed :
Ndugu zangu wasilamu nawasokuwa waisilamu mtu akisha fariki ni vibay kumsema ni vyema kumbuombea dua allah amsamhe madhambi yake maiti hasemwi allah ampe kauli thabitii
2026-10-25 03:09:35
128
Samantha kem :
my sister alikuwa so stressed na nilikuwa najaribu kuongea naye kila siku ata hiyo usiku wa kifo chake nilikuwa nimeongea naye kujulia Hali akaniambie Ako salama kabisa nikirundi tena mala ya pili mdogo wangu kweli uko salama akanijibu Mimi niko salama na Niko kwa nyumba usijali she was going through a lot ni mdogo wangu na Mimi ndie nilikuwa kama mzazi kwake juuu tuliajwa tukiwa wadogo 😭😭😭😭💔💔💔
2026-10-25 07:33:00
82
princess.khadz :
May Allah grant her jannah and May He forgive our sins
2026-10-24 22:27:00
27
Lady like riri💋 :
Allah amsameh makosa yake yasiri na yadhahiri yarrab🤲🤲🤲
2026-10-25 01:54:34
38
Fashion fixer :
Musisahau aliutetea uisilamu Allah peke yake ndio wa kuhukumu
2026-10-25 09:11:43
24
😘❤❤m@mfaah. :
reast in peac
2026-10-25 12:43:26
0
Nchu Mvuli Havakwi👊 :
nafrai sana walahi ametukanisha dini ya mungu kw mda mrefuu sana
2026-10-24 23:37:50
33
LADY GINGER :
Twaomba Kwa Allah Asimuhukumu Kwa Manyonge yake marhum Bali Amuhurumie kwani Alokamili ni Allah Pekee Sisi binadamu tumejaa mapungufu.Allah jummah warhamhuwaskinu fil Janna .Aaamin🤲
2026-10-25 08:29:02
11
mpoto :
account yake ifungiwe jamani ni kama anazalilishwa jamani tumstiri hayo mengine mungu ndio anajua kila mja ana yake pengne yake ya dhahili ni machache kuliko yetu ya siri tusihukumiane
2026-10-25 11:36:06
13
Glam by Suu💄 :
Watu wanafiki sanaa wengine mnajifanya kumpenda mlikua mnasubiri afe ndio mumuombe Mema.....Tukumbushane mema kipindi bado tupo hai jamani....na tukikumbushwa tuache vibri vyakujibu Wenzetu uchafu...Aya Mungu amsamhe attusamhe na ss
2026-10-25 06:00:27
18
Wizzi :
Mola amjalie janna firdaus.
2026-10-25 08:00:43
5
Golo boy :
inalilahi waina ilai rajul, poleni sana wafiwa usimuombee mwenzako dua mbaya hata kama alikuwa mbaya kwan hujuw ww utakufa vp kifo ni kigumu sana ya rabi tujalie mwisho mwema na uwasamehe zambi zao waisilamu wote waliwo tangulia mbele ya haki hakika ww ni mjuzi wa mambo yote na mwingi wa rehma
2026-10-25 05:00:24
12
Doomslayer 150 :
Allah amlaze mahali pema peponi amtilie nuru katika kaburi lake amsameh makosa yake allahummah amiin yarrab
don't judge a book by it cover.kila mmoja ana amali yke.na ajuaye zaidi ni Allah. m.mungu akusamehe madhambi yko ya siri na dhahiri inshaAllah amin
2026-10-25 07:30:06
6
boeysha :
hakuna kureport mchana wala usiku apambans na halii yakee si alijitangaza mwenyewee..na sisi tuliobaki njia ni hiyo hiyo basi yawe mazingatio hayaa ya binti hamisi..Mola amsamehe na amhurumie huko aliko
2026-10-25 05:27:46
7
mazura fashion :
pale tukiwakanya hututukana na kutuaibisha mtandaoni sidhani kama dua zetu zitamsaidia kwa kweli,na mm niliapa ile siku hawa tutaitishwa kureport accounts zao sitakua miongoni watareport account wacha kila mtu abebe msalaba wake na allah ndie hakim,na huo ndio msimamo wangu
2026-10-25 05:32:45
7
Doomslayer 150 :
tusimhukumu hio ni kazi ya allah
2026-10-25 00:51:00
10
ali Maluda :
Allah msamehe makosa yake Ameen
2026-10-25 01:44:10
9
SCARY AS HELL💀 :
qathra jaman
2026-10-25 04:03:18
7
Ruwayda soud :
Uwe na stress ndio uchane nguo live na kujiweka vile sio kweli Allah ansamehe tu na kuhusu kufungwa account yake hakuna anaejua pasdword yake
2026-10-25 17:01:01
2
Sada Abdullah :
kwao wp
2026-10-25 17:07:32
1
To see more videos from user @msiba_all_word, please go to the Tikwm
homepage.