wanapakua kama hawatak hivi mnajuaga tunavyosumbuliwa kwny michango??
2026-10-25 06:19:23
256
Airat :
Sasa atakula chips yai na Supu hee
2026-10-25 05:03:15
115
Khadee♥️ :
kwan hii ratiba ya chips yai nani kaileta
2026-10-25 21:56:54
19
neema255 :
Haya ndio mambo hata ukichanga laki una enjoy
2026-10-24 23:17:34
36
userjenipha :
huyu mama mwenye nguo nyeupe kama namjuwa
2026-10-25 10:28:59
12
Zandile Makhathini :
which country is this?
2026-10-26 14:26:00
2
mable :
soup looks like a mirror
2026-10-26 16:28:29
4
Rama De :
Yaan Hapo Siachi Kitu Nitachukua Supu Ya Kuku Nitachukua Kuku Mkaango Nitachukua Chips Yai Sasa ntaacha namwachia nani wakat vitu vilishatoka kwa odda tupo watu 400
2026-10-25 15:49:24
6
Brigitte :
quel repas mon Dieu
2026-10-25 07:45:22
5
MgulaTZ :
mbona tunaona mengi mwaka huu . supp na chips yai
2026-10-25 19:50:24
6
Ma mkali😍 :
siku nyingine muweke foil wengine tunapenda ku dumbia
2026-10-25 22:29:38
2
warda collection ❤ :
hii israfu jamn
khee sasa wale waroho hawajui wachukue nini na waache nini😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-27 14:14:59
0
Fakhi Saidy3232 :
wiki ijayo wap.
2026-10-26 19:38:40
0
yvonnekawira34 :
nan amepika hizo Maya zote jmn
2026-10-27 00:06:03
2
Marry :
Chips yaii nasupu nitamuu balaa hat mm napenda kula hvyo
2026-10-26 14:32:35
1
SMART CLEANERS COMPANY LIMITED :
Mimi ndio nishashindwa kupanga foleni kbs
2026-10-26 19:10:55
1
🇹🇿binti Massawe🇹🇿 :
mbona kama hizi chipsi yai zanatrend sana kwenye masherehe au ndo habari ya mjini siku hizi
2026-10-26 05:39:34
2
Maimuna Mrema :
Bora wabadilishe vyakula kwenye sherehe maana Kila siku vilevile tu
2026-10-26 06:18:58
1
HEDWING ATAKU MUSANGA :
waaaaaaa hapa ni wapi
2026-10-25 06:04:52
3
Catrinah panja :
kamati ilikamatika😆😆
2026-10-26 17:24:06
1
Father holy 🤣🤣 :
Ndiko kuti muto
2026-10-26 12:01:17
1
Mrs Kareem OG😜😜 :
hio lini hioooooooooo🤤🤤
2026-10-25 12:25:58
1
Gladys :
kuku inakaa aje sijapenda
2026-10-25 16:51:24
1
Levite8707❤️🥰🙏 :
E Uganda we have chef Godwin omufumbi wokumikolo
2026-10-26 06:36:52
1
Mwegelo@caroline :
niwaambie TU apo single ni laki🤣🤣
2026-10-26 15:08:43
1
To see more videos from user @magomafungo___chef, please go to the Tikwm
homepage.