@mshamba_media: wamerudi kwenu wazazi wanaomba msamaha na hawakutegemea ilo mambo.#creatorsearchinsight #mshambamedia #mwishowaomwanzowetu #tanzaniantiktok🇹🇿

Mshamba_media
Mshamba_media
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 22:48:48 GMT
109396
3397
726
202

Music

Download

Comments

musababazbabaz
Diddy Combs :
Mmekuja Kutoa Msahamaha Kivipi Yani
2026-10-25 03:41:57
53
juju040945
juju :
nyuma ya camera wametukana niamini mm
2026-10-25 05:21:11
43
officialsmith11
Smith🦅 👑 :
Siwez kuwasamehe mm mke wangu siku hizi snanifungia ndani kisa nyie😔😆
2026-10-25 04:19:12
85
ney26842
Ney :
Tuwasamehe vp wakat me uk bwana ang simuon jmn🥺🥺
2026-10-25 04:30:44
18
kandayaziwa_14
Kanda ya Ziwa :
Mnatoa msamaha au mnaomba msamaha?
2026-10-25 00:07:47
31
user46308137460271
abutwalb :
uzur mlichoongea mkiwa n uniform tunajua kilitok moyoni
2026-10-25 02:42:59
48
khabu.master
khabu master :
subirini dunia ipo kwa ajili yenu...
2026-10-25 03:34:51
11
shammerkileo
GO ON efx🔝📌 :
sisi kama taifa tunashukuruni kwakutusamehe 😅😅😅
2026-10-25 03:51:57
8
edger2480
🛣️Edgar :
Aaaaah ban tunawasubir
2026-10-25 05:50:56
1
kiraka.mhamba
Kila boy :
Haina shida tuko pamoja
2026-10-25 05:59:42
2
badface507
bad"face" tz :
maisha yatawasamehe siyo sisi
2026-10-25 05:36:35
1
hamisi.elia
hamisi elia :
nyie endeleeni kutoa msamaha2 ila tambueni hapo kuna mambo hayo ✌
2026-10-25 05:47:38
2
kahabistore2
KAHABISTORE :
Asante studio 🎤 🎙 mbona kama mnachamba
2026-10-25 05:44:40
1
juniorstarman54
junior samwel :
karibuni mtaani mana shule akuna apo 45 au 32
2026-10-25 01:15:44
7
yuram9252
Yuram👀 :
Aya Nimewasameh
2026-10-25 06:04:03
1
allybey152
Ally Bey :
mnatoa msamah au sio
2026-10-25 06:08:31
0
hawamsengi0
Hawamsengi0 :
eehe mungu.
2026-10-25 05:37:15
1
sifa.almas
Sifa Almas :
hakuna msamaha apo
2026-10-25 05:28:58
1
abellucas886
Abel Lucas :
Kwaiyo mnaishi sehemu moja
2026-10-25 06:18:58
0
bigfish3984
Big Fish😎 :
kutoa au kuomba msamah
2026-10-25 05:45:33
1
mancaster85
Mancaster :
Wachukuliwe hatua wafutiwe matokeo warudi shule waanze upya
2026-10-25 05:14:06
1
hajiabdallah308
🅙🅸🅩🅨 🅜🅩🅐🅛🅔🅝🅓🅞 :
hakuna
2026-10-25 05:43:15
1
suzana.wiliam
suzana :
wanafanya.kusudi kwanza sm zamkopo wanalipia hela wanazitowa wapi wakamatwe
2026-10-25 06:11:50
0
rayleecuyz
Raymond :
Hawana adabu hawa hata wanavyoongea tu unawaona eti "Habari ya muda huu" hakuna tena "Shikamoo" wanatuona sisi kama watoto wenzao....
2026-10-25 06:02:08
3
almasimako
cally khan. :
apana wangefikilia kwanza uluma sio malezi
2026-10-25 04:38:46
2
To see more videos from user @mshamba_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About