@jackiehealthtips: Elimu kuhusu HIV

Jackie samwel 💎
Jackie samwel 💎
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 03:42:56 GMT
163680
5306
227
755

Music

Download

Comments

julian_jm225
Dr Julian🩺 :
Undetected untransmitted
2026-10-25 06:42:15
132
dragongirl369
dragongirl369 :
Kweny hilo nimungu tu anatulinda
2026-10-25 08:07:25
104
dwight.mbawala
Doctor small99 :
kitu watu hawajui ni kwamba atakama mtu anavirusi akipima ikionyesha hana hana uwezo wakuambukiza mwengine kwaio waache watu wapimane inasaidia
2026-10-25 08:04:17
99
becky__divah
Rebby🤎🤍 :
Formula ni ile lile undetected…untransmittable bnaa.watu wangeugua mnoo
2026-10-25 10:08:41
31
muy_alfa
Petite_suzy✨ :
Sawa…tuna takiwa sasa tufanyaje kwa usalama wetu?
2026-10-25 06:04:32
53
jerrymayala
Jerry mayala :
undetectable untransmitted... kama havionekna hapo haviwez kuambukiz
2026-10-25 07:19:33
22
jntcollection0
JnT Collection :
Kama inakuja ije bhana maana sasa kama mtu hautak basi usiwe na mahusiano uwe mwenyewe maana mm ntajilinda je mwenzangu na HIV kama n pepo yan ikiingia imeingia😂🙌🏼 woooi n Mungu hapa tu atusaidie jaman
2026-10-29 06:21:44
1
mkashauri8
mkashauri8 :
nilimwambia mtu hivi akabishaaaa😅😅
2026-10-25 07:01:30
15
zuwena599
Zenaiya💕 :
Mnakuza mambo sana bwana
2026-10-25 14:34:44
8
artulodenva
artulodenva :
hivi kwa nini kila nikitoka kupga kavu ndo naktana na hizi video Kwa Nini jamn!?[Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-25 19:18:58
6
happynesjames3
regna Daniel ❤️ :
inaweza ikagika hata miaka 10 bila ukimwi kuonekana???
2026-10-25 06:36:05
7
scolfied08
scolfied :
mambo haya ndio ctakag kuyackia
2026-10-26 08:50:59
5
tyu2345678
Daddy Gianna's Fumakule :
Tz ...Top 5
2026-10-25 16:06:06
5
itsslim96
🦋It’s 🍀slim🦋 :
Nyie nae mnaboa sasa kwaio tutumie futa kondomu au kavu me nishachoka
2026-10-29 04:40:45
2
happy18608
happy :
Kwahyo hapo cha muhimu kunatakiwa kuwe na kipimo ambacho kinaonyesha hata Kama maambukizi yaliingia nusu saa
2026-10-25 12:18:51
6
festongadaya
Festo Ngadaya :
Watu wamezoea elimu rahisi, hawataki kuambiwa ukweli, hii ni elimu muhimu sana waelewe, mwenye swali aulize
2026-10-26 20:16:55
1
user38081122397878
Dc14 :
uko sahihi lakin ..kisipoonekana hakiwezi kuambukiza
2026-10-26 14:22:18
3
mamkenda.collection
Mamkenda Collection Tz :
Kinga ni bora kuliko kupima /Tumia condom hata kama ametest negative ad mtakapojihakikishia 💯 kuwa kila mtu ni salama
2026-10-26 17:35:15
2
amas_96
Amas :
hata muathirika kabisa avofata masharti vizur kuna muda virus huwa vinafubaa na hata akipima havionekani na italeta mstari mmoja. kiufupi tu, kama kipimo kitaleta mstari mmoja na mtu tayar ni muathirika basi jua hapo bado hawezi kumuambukiza mtu, hata kama kaupata miaka kumi lakin kafata mashart na vimefubaa bado hawez kumuambukiza mtu
2026-10-25 06:24:08
7
bonymbilinyi
bonymbilinyi :
acha tupate hatuna namna
2026-10-26 13:41:19
0
mm895540
mãľëmɓè :
yani mnayoongea na hali halisi hata havifanani yaani iko ivi hata mimi sijui ila Mola ndo kila kitu ila ukisikikiza sana shida tupu
2026-10-25 13:05:47
4
lonner0d
officially ~lonner ❤🦋❤ :
me siongei sana mungu tu ndio anachagua maana kunawengine apa tumezaliwa nao tufanyajee
2026-10-25 15:39:34
4
merrymbinda
Miss merry :
Umeongea Point
2026-10-25 11:33:41
4
karimu.munisi
Karimu Munisi :
mbona mnatutisha ivyo jamn inama tusitombe jamn mmesema tupeme saivi tena maelekezo mengine jamn dah
2026-10-25 13:13:17
3
dr.byarugaba1
Tupac :
The positive side, is if it's undetectable the chances of transmission are low! Watu waendelee kumcheki afya mara Kwa mara na kuchukua tahadhari
2026-10-25 17:17:40
2
To see more videos from user @jackiehealthtips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About