@jwtz80: Walinda Amani wa Kikundi cha Kumi (TANZBATT-10) cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kikiwa katika mazoezi ya utayari kabla ya kuelekea Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa jukumu la Ulinzi wa Amani. Mazoezi hayo yanaratibiwa na Chuo cha Ulinzi wa Amani Tanzania (TPTC) yamehusisha mafunzo ya nadharia na vitendo ili kuwaongezea weledi utakaofanikisha utekelezaji wa majukumu yao kwa weledi.

Tanzania military
Tanzania military
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 04:55:43 GMT
4874
425
9
6

Music

Download

Comments

blessthekidrealy
BLESS THE KID :
naqubl wanangu [Power][Power][Power]
2026-10-26 12:57:20
0
user0670464290
mdasiru chamari :
mungu awalinde viongozi
2026-10-26 11:23:27
0
umoja70
Steve :
fareeeeeee
2026-10-25 05:14:13
0
jayland178
JAYLAND :
nakupendeni sana moja ya ndoto zangu nikupiga picha na nyie
2026-10-25 04:59:44
1
muraty849
Ⓥ︎Ⓘ︎Ⓒ︎Ⓔ︎ ░m░░e░░l░░a░ :
2026-10-25 07:08:57
0
mbaya_mbovu
💀Terrorist_55☠️ :
💪💪💪
2026-10-25 05:01:13
1
0670701226gento
A. K. A . Kussaga :
🥰
2026-10-26 12:59:09
0
ms_.jeccy
ms.jessy🦋 :
🫡🫡
2026-10-27 06:21:15
0
To see more videos from user @jwtz80, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About