Wengine tulikosa nauli yakuja hospital [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 07:35:42
2
mndewa kaka :
tuombe mungu wake zetu wasituombee tupate ajali maana tutadhalilika na familia zetu
2026-10-25 13:46:38
0
🦋❣️𝓩𝓮𝔂𝓴𝓱𝓪𝓷❣️🦋 :
Chaa ajabu wapenzi hao wametengeza group ili kumuhukumu mpenzi wao😂😂
2026-10-25 10:30:30
1
Traves Maiko Mchome :
kiukweli mm siku nyingi nilikwisha kataa kua na mwanaume mmoja mpk ss ninawote bado bwana rubani tu lkn vitengo vingine vyote tyr
2026-10-25 08:10:51
2
habuking :
chaajabu mimi sina ata mmojaa dah 😃😄😄
2026-10-25 09:11:32
0
user6006381281243 :
me naumwa kichwa meshindwa kuja ap
2026-10-25 06:13:06
0
john tz :
huyu yupo kama Mimi
2026-10-25 07:30:00
1
mwamvita :
😂😂😂😂
2026-10-25 09:08:36
0
MY is my name% 🇹🇿 :
huyu ndiyo me kabisa[Red heart]
2026-10-25 08:47:14
0
son :
we ushawai date watu ad ukawasahau majina wengne
2026-10-25 08:32:37
0
Gsm...gabriel..001 :
mbna mm huyu mungu anisameh tu kwasababu.....
2026-10-25 09:40:16
0
animal🐘 :
yani ni nani ana toa taarifa zangu
2026-10-25 07:12:13
0
BABA CLARA :
hii imenikumbusha mwaka 2015😂😂
2026-10-25 06:25:17
0
machuu :
Hhhh jmn naomb mung naipat ajal kwakwel😅😅
2026-10-25 06:19:08
0
Hassan Gunguti :
uyo jamaa kumbe family 😂
2026-10-25 11:26:55
0
@iam_emmyonly :
17 basi
2026-10-25 07:09:22
0
HAPPINESS SAID :
Bora hata wao Saba me nikiwa Tupo wengi
2026-10-25 08:38:27
0
Emicha G 26 :
mmhm naomben kiti jaman nina maelezo mengi kidogo🤣🤣🤣
2026-10-25 14:23:49
0
❤️reney@🫀 :
huyu ni kama huyu wangu Yani tutajukuta 27na watoto14🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-25 08:06:28
0
frank :
nyie wanawake mkiolewa mtambulishe ukoo mm niliumwa nikalazwa mkewang alishangaa kumuona mdogo wake mtoto wa mamayake mkubwa kaja hospitali wakati hajamwambia kumbe nikamchepuko kangu mm nilikua sijui kama ndugu 🤣🤣
2026-10-25 13:17:29
0
Emybeny :
eh sasa unadhan masingo walioko wametoka wapi cndo washafiwa ni basi tu kaziiendelee
2026-10-25 07:08:40
1
Mr jeo26 :
Apo kuna baazi hawapata taalifa
2026-10-25 06:27:11
1
MEJO BOY TZ :
Ngojeni siku nikipta ajali watakuja ndugu zangu tu, na hamtoshangaa
2026-10-25 11:56:52
1
GUSTA ♓️ :
aaah nisipate tu ajal maana ntaanza kuomba kifo sjui kama ntaweza kujielezea🤣🤣🤣
2026-10-25 06:48:06
0
To see more videos from user @mazee_45, please go to the Tikwm
homepage.