subhannallah Allah yupe mwisho ulio mwema yarab😭😭😭😭🙌
2026-10-25 06:41:43
349
Husna Mayala :
umeona ee alafu wanasema tumstiri🥺
2026-10-25 06:28:31
74
Halimaa Ali :
may Allah forgive our sins and grant us good ending 🤲
2026-10-25 18:28:49
0
Rahma :
yaan nilikuwa najipost tena nikiwa nimejistil lakin kifo cha huyo dada yooh nimefuta post zote maana
2026-10-25 07:59:33
141
TasnimAbubakar@11 :
Punguzeni kuhukumu jamani kazi ya mizani tumwachie Allah
2026-10-25 11:11:32
37
Esha :
so sad wallah
2026-10-25 14:23:37
0
️Chase Gommans :
Stop mentioning her name,. You lot don’t know you are doing more damage and you are worse than what she was doing.
2026-10-25 16:26:40
6
Pretty mariah 🔗🎯 :
uchiii Ukiwa vip yn
2026-10-25 06:29:21
7
Marym Aboubakar :
Dunia nzima alokaa uchi ni yeye ? acheni dhambi na nyinyi mnaangali uchi wske wa nini kujipa dhsmbi macho yenu kuona?
2026-10-25 08:02:52
21
user8839214472774 :
kwani Mungu anaangalia mtandaooo
2026-10-25 06:52:17
8
Mamy me me 🥀 :
Yani mimi naungana Na wanao sema ukweli skuizi tunajisau sana wanawake skuizi mtu unafanya mambo kusudi unambiwa ukweli unaleta jeuli sasa wacheni watu watuwambie ukweli 🥹 ili wengine tupate kujifunza