@rebams_tv: Hivi karibuni kumekuwa na matukio ya misalaba kuwadondokea watu na kupelekea maumivi na wengine kifo. Ikiwa nj pamoja na tukio lililotokea nchini Ecuador, Colombia na Sasa nchini Marekani mpiga Ngoma wa kanisa nae kadondokewa na msalaba

REBAMS TV
REBAMS TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 05:51:26 GMT
25508
433
72
135

Music

Download

Comments

danieljoshu720
UNSTOPPABLE_DANNY. :
Mungu HATAKI unafki tena
2026-10-25 16:38:52
18
zahramotto
👑Zahra Zahra💞🌹 :
Kwan kuna nn
2026-10-25 22:18:41
0
sixsimkoko10
Sixsimkoko10 :
yesu kakasirika kazi tunayo
2026-10-25 18:53:12
3
user7265247355163
ibratz :
yesu atarudii kivunja misalabaaa kama linaanzaa kutimia hivi nilifundishwa madrasa
2026-10-25 18:31:30
3
followmelpz
@yusuphkaka :
apo kuna mambo haya✌️
2026-10-25 20:08:47
0
ashleymickdadgmail.com
Aysher🪷hatun👑🌹🥀 :
yesu ana bonda tu
2026-10-25 15:16:19
1
yesumnazaleti1
yesumnazaleti1 :
Ataki unafiki tena
2026-10-25 18:57:00
1
saddahking
saddahking🌸 :
apo ujumbe ushafikaa anarudii ivyoo
2026-10-25 21:34:01
0
miriam.mkirya
Milovan Melanin🦋 :
Miungu ya kigeni wameanguka wamevunjika Mungu tupo Mmoja tu... aliimba Bella kombo
2026-10-25 20:07:56
0
kelvinmwacha
kevoo💀 :
kwahy sahivi camera zimetegwa kwa ajili ya misalaba
2026-10-25 20:48:55
0
rahamalbrahim1
rahama :
yesu kakasiria
2026-10-25 18:33:21
0
isilam25
jseven isl 🕋🕌 :
ay ss
2026-10-25 19:47:48
0
marinacute58
marinacute :
mungu kachoka na wanafki
2026-10-25 18:18:28
0
mjr23717
RAMADHAN :
hapo Kuna mamb hay ✌️
2026-10-25 22:46:40
0
shafiboy03
Shafi boy💥 :
Kwani Padry yeye mwenyewe anasemaje 🤔🤔🤔
2026-10-25 17:11:36
0
jay.mo702
jay mo :
2026-10-25 18:58:41
0
user9324322751650
user9324322751650 :
ishakuwa trending sasa kila kanisa wanategesha misalaba iwaangukie wapate kuuz video zao mitandaon
2026-10-25 23:22:08
0
yelemiah01
Yelemiahtv :
daaah
2026-10-25 12:23:27
0
marthapaul819
It's me Matty :
Kwan msalaba unasemaje
2026-10-25 16:35:54
0
uwamahoronuriyat8
N🦋🇷🇼❤️🇧🇮 :
2026-10-26 00:54:28
0
nad_hatun
nad_hatun :
yesu anaconda watu wake uku anawanyoka tuu😂😂😂
2026-10-25 20:57:12
0
user57133053826165
Not found :
yesu hayupo mbli
2026-10-25 18:51:46
0
ameree_takky
ameree :
eti ni mwendo wakubondwa na msalaba😅😅😅😅
2026-10-25 19:18:59
0
blaxruben1
blaxruben :
ukute mpiga ngoma alikuwa anawaza demu yake
2026-10-25 19:40:58
0
veemoney_1
VEEMONEY :
Ana bonda uku ana nyonga [Tears of joy]
2026-10-25 17:47:12
0
To see more videos from user @rebams_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About