Kufikia 2040 Biashara ya Dini inaenda Kufa Vijana wamekua wengi kuliko wazee na wana maswali mengi sana ambayo hayana majibu😂
2026-10-25 10:23:14
102
Obitoo💥 :
Itoshe kusema Mungu ayupo
2026-10-25 09:53:46
38
Benson Sr :
"Mungu si anaweza kila kitu" manake una mashaka nae,,keep going bro atakuonyesha ukuu wake siku1
2026-10-25 08:24:13
51
Anania Simoni :
no comment
2026-10-25 20:06:36
0
JMP :
Dini ni mtindo fulani wa maisha uliotengenezwa na kikundi cha wanadamu ili watu wawe na utaratibu unaoeleweka jinsi ya kuhishi kwenye jamiii husika.
Kila jamiii ilikua na mtindo wake wa maisha (civilizations). Ila kulikuwa na jamii fulani fulani kama white supremacy (christianity) na arabs supremacy (islamic) zilikua zinahitaji na kupambana kushika uchumi wa dunia nzima. Ili ziweze kufanya hivyo kwa jamii ambazo zilikuwa karibu nazo waliweza kutuma majeshi yao na kupigana nao vita, kuwauwa na kuchukua rasilimali zao. Na kwa jamiii ambazo zilikuwa mbali, walishindwa kutuma majeshi yao ila walituma wawakilishi wao kuja kusambaza dini zao ili waweze kushika uchumi na rasimali za jamii hizo.
Africa ilikua na civilizations (dini) zake kabla ya wakoloni na wa wakilishi waarab kuja. Tatizo lilikuwa jamii nyingi za kiafrika documentations ya mtindo wao wa maisha ilikuwa mbovu na rahisi kufutwa ( kwa mfano michoro ya mapangoni ukivunja mapango michoro imepotea). Wakoloni na wa arabs walivyokuja waliakikisha kwanza kufuta na kuvunja documentaions zetu ili tusiwe na historia na tusijue wapi tumetokea. Baada ya hapo wakaanza kupitisha ideas zao na kuzisambaza. Yaani ilikua mtoto akizaliwa haoni history ya jamii yake ya kiafrika ila anakutana na maandishi ya wakoloni na waarabu. Of course kuna baadhi ya jamii za kiafrica kama Egypt na Ethopia ziliweza kudocument mtindo wao wa maisha kutokana waliweza kushabiaana na watu middle east. Ndio maana leo hii unasikia kabla ya wakoloni kuja christianity ilikuwepo Ethopia. Ni uongo, Ethopian religion ni tofauti kabisa na ukirsito. Ethopian Orthodox Tewahado sio ukiristo na mara kadhaa Roman Catholic wamekua wakipinga na kupiga marufuku.
2026-10-25 19:41:14
1
️Auni🩵 :
Mass awakening 💪🏽
2026-10-25 10:24:13
6
Liquidity 26 :
Hapa Watu Wengi Watawakaa Sanaa Wakisikia Hii
2026-10-25 08:55:38
7
Dr E. H.Maeda :
Dini ni mchanganyiko wa sintofahamu na uwoga. Kama dini itatumia kumcontrol mtu ni lazima awe mwoga. Wataalamu wenyewe wanaita " hofu ya Mungu"
2026-10-25 12:00:23
9
Rich Richie :
MUNGU Ameshakupa kila anachokijua kwahiyo kazi kwako! Hayo unayoyajua Mungu amekutaka uishie kujua mwisho hapo hapo
2026-10-25 10:15:28
6
Laws of Nature :
Ipo siku ataprove tu haina shida. Uzuri Creator mwenyewe anamsikia
2026-10-25 15:51:12
2
mushauri wa rais :
hakuna jambo linalo mshinda mungu
2026-10-25 12:29:18
2
jose_mandela93 :
God operates in spiritual world not in the things that has given control to a human.
2026-10-25 18:48:17
0
C.Y.P.H.E.R :
they should put me on this stuffs..any side devil,God,human,nature,universe itself chochote nitetee idc
2026-10-25 13:57:12
3
NTAGAYE FILMS :
bro, Kuna nguvu asilia ambayo ina drive each and everything hiyo nguvu ipo ambayo ndio watu tunaita ni Mungu, na hiyo nguvu inatenda. sema watu wa dini the way wanavo iadress ni tofauti kabisa na reality. wanabahatisha, cos hawaijui vizuri.
2026-10-25 09:12:56
5
______llela🎀 :
kwahiyo Mungu akiotesha mkono mwingine ndo utaamini yupo ookayyy tukupe mda utatuambia yupo au hayupo
2026-10-25 17:28:11
2
majid changandevu :
dini ni kituu kizuri ila shida ni waliotuletea ukuu ndyo wamekuja kuifanya biashara na kutukandamizaa
2026-10-25 18:49:37
0
Mzee Kabufu :
😠😡 MUNGU anakanuni zake!!, matatizo yanafanya umkumbuke MUNGU, kusingekuwa na matatizo tusingeheshimiana, tusinge muheshimu MUNGU, Kila Linalompata mtu halijaja KWA bahati Mbaya, Kuna wengine wanalipia mabaya waliyofanya ili wajifunze,.. Huwezi mtibu mtu WA hivyo, mtawaonea Bure watumishi WA MUNGU. Mapepo, uchawi nguvu za giza, ndio kitu pekee watumishi tunaweza kukitibu, ila mengine ni mipango ya MUNGU mwenyewe Huwezi kutibu.
2026-10-25 09:36:25
1
Mr_BillBranks :
aaaah mamaeee,
mpanga kugombana na walimwengu😅. hii ndio mjadala nataka kuuskiliza
2026-10-25 08:04:53
5
PeTerson🫧 :
Tatizo watu tunachanganya kati ya dini,nature and god existence ukishaelewa hivi vitu vitatu basi
2026-10-25 13:05:14
1
Raddu_Afri :
Mungu kufanya kitu vinavyoweza kufanyika
2026-10-25 10:27:58
0
THE CREATOR🧠 :
Kama unahisi hawezi its okee😂
2026-10-25 17:18:16
2
tin :
huwa namuelewa sana huyu jamaa
2026-10-25 08:33:54
3
Putin :
mungu anaweza kila kitu kupitia wanadamu
2026-10-25 13:23:09
0
daniel :
mungu anaweza kuumba kila kitu ila hawezi kumuumba mungu mwingine mkubwa kuliko yeye?
2026-10-25 10:29:15
0
Pajuju Abaya Fashion :
Mungu hana mda mchafu wa kujipendekeza kwa kila mwanadamu
2026-10-25 10:44:51
2
To see more videos from user @director.bitah, please go to the Tikwm
homepage.