unapatikana dar sehem gan, maana wangu ana mwaka na mwez mmoja aliumwa degedege Kali ikamfanya mpk sasa hawez kukaa chini vzr ila shingo yk imekaza na pia miguu yake imekaza ata ukimsimamisha anasimama na pia ukimlaza chin au kitandan anauwezo wa kujisogeza na tumbo ila kuongea anasema dada,baba na mama tu
2026-10-25 13:56:21
1
khadijaasaidii :
naomb namb zako mwanangu ana mwaka na miez kumi lakin bado shingo haijakaz vizur
2026-10-25 19:08:27
0
@Eury🥰254 :
naomba msaada wako,n vipi unaeza patikana
2026-10-26 09:26:10
0
Neyla41 :
mungu mponye malaika wako 🙏
2026-10-25 09:16:26
1
pheriz :
utanisaidia na nn sas
2026-10-25 07:08:16
0
user22488717448377 :
bonjour Dr, uko inji gani, nahitaji msaada wako
2026-10-25 08:52:48
0
Pinky too :
Mimi miaka tano aongei
2026-10-25 19:28:17
0
Renick Mlonganile :
namba zako nazipataje Docta
2026-10-25 21:19:48
0
Qeen shaniz :
pole
2026-10-25 17:03:34
0
la maman des enfants :
mimi nipo congo,nifanye je?
2026-10-25 09:05:40
0
🦋prrety Rahma🦋 :
ukwap dr
2026-10-26 08:40:57
0
mishlily :
pole sana
2026-10-26 08:19:09
0
Caroline Caroh :
Pole sna baby
2026-10-26 10:57:48
0
glory silas :
pole kipenz mung atakuponya kwa jina la yesu
2026-10-25 17:35:52
0
arafaiddi92 :
je wa mikoani tunapataje msaada weka ata namba yako
2026-10-25 17:32:41
0
Shaz luhyatoto💗💋👩👧👦 :
mimi ako mwaka na asimami
2026-10-25 18:22:02
0
To see more videos from user @nyandamasibuka7, please go to the Tikwm
homepage.