@americanswager: #creatorsearchinsights #createsightinsight kijana toka liwlale fam boe kutoka elimu mpak ulinzi. life is not easy 😭😭 Allah akuongoze mwamba dukee story ya maishaa ndo usha ianzaaa @𝗟𝗜𝗪𝗔𝗟𝗘 𝗧𝗥𝗘𝗡𝗗 🇹🇿🎧 @Ram@- chaboli⚽✨ @Ally yababa 8 @lymarch 🌴 @nado_chaboli❤️⚽ @sami loml🫁🧠 @WIZZY_AMOER🤍☘️ @ANGA 🌵 @gory_brain💫🧠🪖

American👑 Swagger 🔗🕯️💦💦
American👑 Swagger 🔗🕯️💦💦
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 06:38:54 GMT
146260
5559
140
135

Music

Download

Comments

mlimwengu_tanzania
𝑴𝒍𝒊𝒎𝒘𝒆𝒏𝒈𝒖 :
bila kuchoka
2026-10-26 06:17:41
2
nyansabho
NYANSABHO... :
Mbona wengi tupo walinzi kaka piga kazi nenda chuo mdogoangu
2026-10-25 09:13:47
51
lehyan110
lehyan :
class mates♥️🙌
2026-10-26 19:06:08
1
malibiche_82
IT'S M4LIBICH3 :
nakubal msela duke ✊✊
2026-10-26 18:28:59
3
sumaiya.barinaba
sumaiya barinaba :
mwenyezi Mungu akusimamie kwenye kazi zako na masomo yako
2026-10-25 08:38:56
18
user7330947180209
Elon mask :
bila kuchoka mkuu mungu Akutangulie ufike unapotaka Amina
2026-10-25 08:44:17
26
ausonmkoba550
son :
mung akupiganie nilikua kama ww sahz n ofsa ata walionitelekeza awahamin pigana mdog angu muhm usiibe
2026-10-25 09:36:32
11
kairokairo770
Cairo Little Toddler :
ooooowa kkk makini 822 kj
2026-10-26 16:09:24
1
fred.kato0
MWANAARAKAT :
kariakoo ninayoo ijua mim au
2026-10-26 17:14:11
1
user3519192540329
lulu tindwa :
liwale sehemu gani mdogo wangu
2026-10-25 12:15:52
3
habib..d
billdax💦 :
kwan uyo ndo uyu??
2026-10-25 08:51:52
10
dayanazahara187
❣️dachu🍒🤪 :
mungu akuzidishie kijana
2026-10-26 13:30:26
1
barhe.1
Barhe (garma) :
Wengi tulianzia huku aisee mm nilianza nikiwa na miaka19 na nilikuwa nasoma poa🥺
2026-10-26 16:18:19
1
user7092421996679
Pius Magoko :
hongera sana kamanda
2026-10-26 11:25:53
1
dhulkifry7
Dhul-kifry :
piga kaz mdogo wangu mie ni wakwanza kutoka kushoto apo mwenyewe me kwety liwale na sija pata ajira lla pambana mungu ata kusaidia
2026-10-25 14:20:03
5
sheny.tz
sheny tz :
ndguuu
2026-10-26 13:10:30
1
latifasalum.sulta
Latifasalum Sultan :
Hongera
2026-10-26 07:38:20
1
dayanazahara187
❣️dachu🍒🤪 :
heeee nashindwa kualewa
2026-10-26 13:30:13
1
daniel.zachary32
BA ELIZA🇹🇿 :
HGK
2026-10-25 18:04:12
1
si2thek
MC NAVIGATOR TZ :
mdogo wangu jikaze sana hata Mimi nilipita SUMAJKT GUARD mpaka nikamaliza chuo asee
2026-10-26 14:38:42
1
allyyababa1
Ally yababa 8 :
bila kuchoka familia 👊⚔️
2026-10-25 14:25:24
2
shaabest
I'm shaa💗💗 :
Wa ukaajaa😍
2026-10-25 08:13:52
4
bigmoze12
big moze@ :
boycott sela nakubarii kak
2026-10-25 19:52:43
3
reals_boe
Qwanta_mnyama :
💪💪💪 san wa kidato
2026-10-26 07:30:47
1
jouzeyoffical
jouzeyofficial :
hongera sana
2026-10-25 17:19:37
1
To see more videos from user @americanswager, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About