@tinted.style45: Ila amigo

Tinted Classic 💥
Tinted Classic 💥
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 06:41:13 GMT
61905
825
42
235

Music

Download

Comments

japhetmagoha8
Jpht :
Video za Harmonize ninazo
2026-10-26 18:18:01
0
stickyfingazzzzzzzz
️ :
Mazda Mashisha
2026-10-26 19:06:19
1
ericksaturmin745
Allasusu :
Mazda ni gari nzur sana ila kwa bongo hii hakuna mafundi wengi ni waharibifu tu
2026-10-25 18:45:55
8
smartcleanerscomp
SMART CLEANERS COMPANY LIMITED :
Mimi yangu nimeifungia engene ya primio nimebadili na gr box ukihiyona ata uwezi kujuwa ukipata fundi mzuri inatulia mbona
2026-10-26 18:28:24
1
david.antares94
David Antares :
Aah watu wavumi sana sasa fundi wakumpq elf 20 lazma iwe hvo
2026-10-26 15:43:42
1
nickson_controller4
nicksoncontroller6 :
unaanza kusumbua mafundi "DPF ndio nini"
2026-10-26 11:56:52
1
maigempassa
maige mpassa :
gari gharama unaweka oili ya kupima gari ya kisasa unategemea nn
2026-10-25 14:43:12
3
daudi.kaseja
Rayani patrick :
Hizo gari ni changamoto kwa hapa bongo kutokana na mazingira yetu. hasa za diezeri ni pasua kichwa.
2026-10-25 17:58:04
2
sembode4
james magohe :
😁😁😁hivi hmna nmna ukaweke gear box ya kluger na engine😂
2026-10-25 16:38:43
2
emmanuelurio60
emmanuel847794 :
dpf
2026-10-25 14:48:25
2
beatrice2815
Beatrice😍🤎 :
My favorite car inapitia misuko suko Jamani 🥺
2026-10-26 11:50:03
0
contraction.group
$contraction group.zanzibar :
mm nataka gari ilio kuda engine
2026-10-26 16:12:37
0
cheka128
Mamaa♥️🦋 :
Mi had nikamiliki[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 18:28:45
0
jamesrwandes2001
JAMES RWANDES :
ka gari kenyewe sasa
2026-10-26 12:24:58
0
ahmad.zahor6
Ahmad Zahor :
Gari ndogo ni nzuri kwa petrol m nahisi
2026-10-26 04:51:31
0
hebronmwakalinga5
Erickson :
shida nini tena
2026-10-26 05:46:46
0
saidmufassa
Mufassa :
Duh najuta kuzinunua
2026-10-26 15:17:30
0
daudi.kaseja
Rayani patrick :
Kizuri hakikosi lasolo
2026-10-25 17:54:43
1
pastor.steven.mdo
Dovillen Real Estate Limited :
kila kitu kina hitsji matunzo
2026-10-26 04:49:53
0
prokenny6
Prokenny :
wenyewe watakuja kukwambia hii gar nzuri sana ila bongo hakuna mafundi wanaozijuloa, what a load of nonsense
2026-10-26 19:06:30
0
josenderingo
Josse nderingo :
kanavuta shisha
2026-10-26 15:45:12
1
galib5439
Galib :
ongeza ila kabovu sanaaa
2026-10-25 10:36:20
2
user6602091027468
MR ..ABELLY 🧭🚦🚦🚦🚧 :
hapoo mafilee yameshakuwa saw
2026-10-25 15:13:34
2
user87930130066243jeshi
mbarali boy, jeshi la mtu 1 :
😂😂😂😂😂😂😂😂mmekalisha maharage?
2026-10-25 17:34:39
1
user1330619745761
kiselya :
Mafua🌝🤓
2026-10-25 17:50:41
1
To see more videos from user @tinted.style45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About