@cekam_chemist: Wale watoto waliosema ficheni mabwana zenu wanatokea shule ya Upili ya Aboud Jumbe yenye usajili wa "S.1659" kama kituo cha mtihani. Matokeo ya kidato cha sita (Advance) ya mwaka jana 2025 na mwaka huu 2026 kutoka Aboud Jumbe Secondary sio mabaya lakini tabia za baadhi ya watahiniwa wa kidato cha nne wa mwaka 2026 zimezua gumzo mtandaoni. Balaza la mitihani (NECTA) huwa halitoi taarifa za majina ya watahiniwa wa mwaka husika tungeweza kufahamu majina yao kulingana na namba zao za usajili wa mtihani, lakini kutumia shule husika vijana hawa wanajulikana. Video hii nimeitengeneza kufatilia hii shule yenye usajili "S.1659" Aboud Jumbe Secondary na namba za hawa wanafunzi waliomaliza shule mwaka huu kwa ajili ya ufatuatiliaji huko siku za mbeleni. @Niffer_cosmetics @unicollegeshow @ . #graduation #nacte #necta #tanzaniantiktok🇹🇿 #vimbakichuochuo
Bora na save hii video [Laugh approved][Laugh approved]wallah
2026-10-25 11:02:09
0
.m :
Naisave hii, Tukutane January 😅😅
2026-10-25 10:07:05
27
𝑠𝑒𝑙𝑚𝑎𝒉 :
isevunii hii vdeo tukutane february kweny results
2026-10-25 10:43:52
0
AFRICAN KING 🤴 :
safi tunasubir matokeo
2026-10-25 08:55:17
56
efbznz_ :
waiting for the results
2026-10-25 09:00:37
23
🌴🦅 :
January sio mbali😂😂😂😂😂
2026-10-25 10:26:37
0
Patrick Lister🎾🍏 :
kuwarahisishia aboud jumbe secondary school ipo dar es salaam kigamboni please msisahau kunitag majibu yakitoka
2026-10-25 09:00:07
19
MICHAEL MSELLE 🤖 :
Tuletee matokeo yao ya olevel
2026-10-25 09:16:21
10
꧁༒ official-shedrack💦༒꧂ :
ngoja ni save hii video lwa matumiz yang binafs ya january
2026-10-25 10:43:19
3
L :
asanteee
2026-10-25 09:37:30
0
kimamle :
safiii tutaona matokeoo
2026-10-25 08:46:19
5
maganja xela🔥💥🔥💥 :
apo Kuna mambo hayo✌️
2026-10-25 11:00:02
1
engineer :
hawa ni watoto awa abood jymbe secondary school
2026-10-25 09:53:42
0
RYLICK :
𝑤𝑎𝑎𝑐ℎ𝑒𝑛𝑖 𝑚𝑎𝑚𝑎 𝑛𝑡𝑖𝑙𝑖𝑒𝑒 𝑎𝑜
2026-10-25 10:17:47
1
rb B@r0n :
kwa mnavy0his ha0 hat ivy0 vyet wanashida navy0kwel
2026-10-25 10:44:52
0
Nzala back_up :
Umetupambania sana kiongozi 😂😂😂
2026-10-25 09:38:52
2
️ :
alafu ukute hata hawajavaa namba zao wamechukua namba za wenzaoo aamevaa 😂😂😂
2026-10-25 09:44:09
0
亗 𝑽𝑬𝑫𝑨 亗 👑 :
Kwishaaaaaa 👍👍👍👍👍👍👍
2026-10-25 10:05:57
1
NyambiziFx :
nakufollow kabisa tupate feedback [Tears of joy]
2026-10-25 09:51:01
1
l.u.t.o.c benard :
let me save this for future use
2026-10-25 09:56:11
1
mg_malolo05 :
kwnn mumfatilie km m2 kaomba msamah msamahe 2 hao bd ni wadg watajifunz wakiw nyumbn maan kila mmoja wetu humu ndan tumepitia hapo
mm nilibak na boksa kbc 😅😅😅 wasamehen 2 madg hao
2026-10-25 09:48:14
2
Abdson Curtar :
shule Iko poa hii
2026-10-25 09:25:40
0
elma :
matokeo yanatoka lini?
2026-10-25 09:33:11
0
To see more videos from user @cekam_chemist, please go to the Tikwm
homepage.