@cutenaah69: #🤣🤣🤣

Christina Mtashobya
Christina Mtashobya
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 07:14:33 GMT
151084
4856
1011
3411

Music

Download

Comments

dimariah87
dimariah :
giza gizan🤣🤣🤣🤣
2026-10-25 16:26:27
0
reshymahragvir1
reshymah🦋 Ragvir♥️ :
[tears of joy] [tears of joy]
2026-10-25 09:03:40
0
jacqueline.aron1
Jacqueline Aron :
hii itakua waini ya Sabipu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]kma sile sa nyumbani[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 13:14:36
0
achuzi770
ÃĈĤŪŽÎ🌴ŜĒÃ🍁🌲 :
zabule zina kutoa nishai[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 13:43:18
0
annaly217
Annalyn shop :
ambao hatujui ata radha ya vilev mikono juu
2026-10-25 08:46:26
441
anthonia.wishi
Julybeib :
sio Dodoma wine kweli iyo😂
2026-10-25 08:57:58
50
marry..19
Marry❤️✨ :
Dodom wine unalewa week 🤣🤣🤣🤣
2026-10-25 17:43:14
0
fatuma.abdallah085
fatty❤🔐🥰 :
me nikilewa nakuwaga maiko jackson😂😂😂
2026-10-25 08:47:37
15
agyjona2
Aggyjona❤❤ :
Kuna mimi nilikuwa nasikia watu wanaongea ila siwaoni
2026-10-25 08:45:46
81
winnieisack2
Winnie Isack :
hahhhhhh!
2026-10-25 18:24:46
0
mama.m252
maa m2 :
ila katika hio shughuli yeye alienda na mambo hayo✌️
2026-10-25 08:39:01
57
vickymlay09gmail.com
Vicky Mlay😍🥰 :
Aliwah kunywa mshikaji wang alitapika hadi kisamvu alichokula mchana ukumbini😂😂😂😂
2026-10-25 08:55:22
30
user9327624721816
Coletha Mtasiwa. :
Niliwahi kunywa wine mimi. Siwezi rudia tena. Nillikuwa natembea kama mtu aliyepooza mguu mmoja. Sina hamu
2026-10-25 09:21:31
11
miss.l1445
Miss L❤️ :
Hichikitu acheni kwani zile wine za vidumu nilazima kutuletea ukumbini
2026-10-25 08:59:22
12
salmakatasha
MAMA COFRA :
mbona kama katukana huyu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 08:37:33
6
sadajobu1
Bi aisha🤎 :
😅😅Alaf alikuwa bado ajala
2026-10-25 09:06:30
8
user60706858688048
niffermhembano :
ndo mmpost shangazi yangu😂😂😂
2026-10-25 08:40:36
5
ceciliamkude4
Cecilia :
Nina ushuhuda wangu nasubr wanangu wakue nije kuwaadithia afadhali ya huyu dada😂😂😂wine shikamoo🙌
2026-10-25 08:45:58
10
emma_ze_boy751
EMMA ZE BOY 👦 🥊🏴‍☠️ :
2026-10-25 09:01:51
0
agnessminja811
Agness Minja :
daaa mbaya hii
2026-10-25 13:01:26
0
annahlyimo
Annah🌺 :
me ndo maan sinaga kiherher na wineee niacheni tu😂😂😂yalisha wahi nikuta sina hamuu nyieeeee
2026-10-25 13:58:57
1
nipherjunior781
nipher j :
mbona kama dodoma wine wanetu [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-25 09:18:23
1
atuletye48
user8140011643868 :
Aisee anayopitia ni magumu usiombe yakukute haya jmn 😁😁
2026-10-25 10:24:27
0
maryam85564
maryam8 :
me bora tu niendelee kuitwa mshambaaa maan sina kichwa ya kunywa pombe haki kbsa kwa stahil hii mie kila siku ningekuwa naaibika wallah😆😅🤣🙌🙌
2026-10-25 09:08:44
0
user595mtz
RANDU BoY tz√√√ :
Mama P🤣🤣🤣
2026-10-25 09:46:47
3
To see more videos from user @cutenaah69, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About