@miss_adam03: #foryoupage❤️❤️ #foryou #fypシ #fyp #foryoupage

Bycola Adam
Bycola Adam
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 25 October 2026 07:14:33 GMT
18366
1119
170
39

Music

Download

Comments

baba.wa.imaan
Nyota ya kheri🌟 :
Tunaambiwa tugome kula[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 15:01:42
0
rashid.juma738
Rashid Juma :
DADA TUULIZIE, UKIFUNGA CRESMO ANALIPA MUNGU,SWAUM YA RAMADHAN ANALIPA MUNGU, HII SWAUM YA CHADEMA ANALIPA NANIIII?
2026-10-25 08:16:17
19
user469262068417
𝔸𝕣𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
et tuzile kula😂😂😂😂😂😂aweeee uliona wap????
2026-10-25 08:07:26
7
annaemanuel145
mama bite :
hata chakula cha kususa ninacho basi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 07:24:35
9
latifa.maige
Latifa Maige :
Ramadhani nafunga... Lakini kugoma hapana...
2026-10-25 07:54:41
6
msomali716
champion boy25 :
mimi niache viporo vyangu asubuhi😂😂😂
2026-10-25 12:17:27
2
user23109734271678
Robby dhe don :
Eheeeee Wameanza kusema tufunge kula😂😂😂😂
2026-10-25 08:06:37
5
mary.kanjila
Mary Kanjila :
Nisuse kula Lissu ni nani kwenye familia yangu?
2026-10-25 08:06:08
11
abdulbach2858
abdulbach2858 :
Dada langu la taifa
2026-10-25 08:11:21
6
addy.victor8
addy victor 🦋 :
Huruma sio malez sis hatujui Kama yeye ni last born wa uko gerezan akikataa Hatuna msaada nae😂😂😂
2026-10-25 07:22:19
14
user6198671062061jojo
jojo :
ok tukifunga chakula cha kufungulia watatupa
2026-10-25 08:51:12
5
mwinyi.foum
Mwinyi Foum :
No way
2026-10-25 10:21:07
1
user4421805729282
@Fatmah Saeed :
watu wamegoma kuandamana saiv wanataka kuwauwa na njaa 🤣🤣🤣 ila wenzetu nao wanapenda kujiamulia mambo 🤣🤣
2026-10-25 07:48:30
7
user8276073331992
INNDE :
halbadiri tayariiiii iyoooo
2026-10-25 12:52:06
2
legmer5
Legmer :
Hiyo ramadhani nafunga basi tu ni amri ya mungu la sivyo ninavyopenda kula, kwenye huo mkumbo mimi sipo😂😂😂
2026-10-25 09:28:18
7
user91569410726608
user9156941072660 :
Hivi ulikuwa wapi hivi maaana unatunyoshea watu wametusumbua sana na wewe kiboko yao mbona pambe👌🏼
2026-10-25 12:44:59
1
mac10663
Mac10 :
sina Cha kusema juu yako mdogo wangu upo mbele ya muda
2026-10-25 12:46:09
3
mwashabanimohammed
Mwashabani mohmmed :
kwa kuacha kula cio kweli tunapiga soma na mpenda vizr tu
2026-10-25 14:19:05
1
its_nayac
Its_nayac😂❤️ :
Tuachekula chips yai na mazagazaga aaah me siwezi😂😂 nitakula hadi hatua yangu ya mwisho ya uhai💔🙌
2026-10-25 07:35:31
5
user5286933194761
user5286933194761 :
inamuhusu Lisu,sisi hayatuuhusu ata ivyo kanisa letu bado alijatangaza kuanza kwa kipindi cha kwalezima
2026-10-25 13:06:02
1
tanganyika.digita
TANGANYIKA DIGITAL EMPIRE :
Mara ya mwisho kugoma kula nilikuwa shule, kwenye mgomo wa chakula. Nako sikuwa nimegoma nililazimishwa
2026-10-25 12:20:23
2
shabari433
Hamis Masud :
Ata mimi siwezi kuacha msosi
2026-10-25 12:45:56
1
user987194174903318
mamahaika2 :
😅😂😂umejuaje kama leo nimepika pilau nyama nitabweda vepi😅😅 WALIO SUSA NA WASUSE
2026-10-25 12:09:55
1
brynkay4
bryn bray :
tumeshaambiwa TUGOME KULA
2026-10-25 11:07:33
1
xxx842093
xxx :
walipiga na najua na taarifa niliwahi kuambiwa nikapuuzia
2026-10-25 10:36:27
1
To see more videos from user @miss_adam03, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About